johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Mkuu nimefata njia zote kuistall hiyo kitu, nashangaa sijaona option ya kuingiza namba ya mtu umtakae naona text zangu na notification zangu tu nisahihishe nimekosea wapi? naingiza vipi account ya huyo mlengwa?pitia hapa mimi binafsi imenisaidia
Junior Hamis, post: 19648984, member: 167548"]ngoja ninaribu kuelekeza japo kwa kifup.... hapa ki2 cha kwanza inabidi kutumia simu ya mhusika yaani (victim phone) ukishakuwa nayo ingia kwenye browser serch www.mobile-tracker-free.combaada ya hapo install hyo app... ingia setting, security then select unknown source ili kuruhusu installation of apk..... then ... ukishamlza ku download then create account by using email baada ya ku create account italeta hapa select unavyohtaji kama ni sms, photos, recorded call audio, location nakadhalika kwa wale ambao wana rooted devices unaweza select social networks pia kama Facebook na whatsapp and others then log in weka tick kwenye to accept agreement the log in italeta hivi select then select social networks for rooted phone the after pls wait itakubali hiv theb baada ya hapo umemalza utakuwa una log in kwenye website www.mobile-tracker-free.com kwa kutumia device yoyote utakuta kila ki2 kama hivi then kama ni audio za call na vingine..... nawasilisha[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] nb:do this at your own risk.... sihusiki na ndoa ya mtu...
Aisee hiyo ID yako kibokoAisee ngoja nisome hizi application
ImefanyajeAisee hiyo ID yako kiboko
Mkuu nimefata njia zote kuistall hiyo kitu, nashangaa sijaona option ya kuingiza namba ya mtu umtakae naona text zangu na notification zangu tu nisahihishe nimekosea wapi? naingiza vipi account ya huyo mlengwa?
Pamoja na dj like1.www.apkchest.com
2.www.ihackedit.com
3.www.onhax.com
4.www.amzmodapk.com
5.www.apklevel.com
6.www.revdl.com
hizo site 1 mpaka 3 ndo naziaminia sana
Duh nawewe mpaka huku hupo!?.Videoder
Kwanini nisiwepo???jukwaa la wakubwa tu Ndio sipatikanikiDuh nawewe mpaka huku hupo!?.
Hahaha!! nimetania tu jamani usiniwekee kinyongo mkuu.Kwanini nisiwepo???jukwaa la wakubwa tu Ndio sipatikaniki
Hahaha!! nimetania tu jamani usiniwekee kinyongo mkuu.Kwanini nisiwepo???jukwaa la wakubwa tu Ndio sipatikaniki
Wala sijaweka kinyongo mkuu. Kawaida mbonaHahaha!! nimetania tu jamani usiniwekee kinyongo mkuu.
Duuh!!nimefurahi kusikia hivyo,shukrani.Wala sijaweka kinyongo mkuu. Kawaida mbona
Application ya kupata followers instagram msaada
Si ufungue akaunt nyingi ujifollow mwenyewe
Videorder mkuuApp ya download video youtube nzur ipi wadau..tufamiishane
muulize mangeApplication ya kupata followers instagram msaada