Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu chief naomba maelekezo ya kuroot android 6.0 marshallow bila kutumia pc
 
Naomba msaada wa kutumia mirror casting kati ya smart TV haier na smartphone boom j8 ndugu zanguni
 
Kwa wale wa ku edit photo, ingia playstore shusha app inaitwa Photo lab
Kisha leta mrejesho hapa...
 
Unamaanisha nifanye factory reset????
kuna factory reset na hard reset mimi huwa na hard reset ila inategemea na simu mfano samsung unazima simu una press power button volume up na home ila simu zinatofautiana.ukifanikisha hope simu yako itasimama....
ANGALIZO. ukikosea unafuta simu itakuwa plain tu
 
wakuu matumaini yangu humu kuna wataalam wa kutosha nina vodafone smart 7 mini( VFD 300) inatumia voda tu mimi natumia tigo nifanyeje nitoke kwenye kifungo hiko nitumie tigo.
 
Salaam wakuu ninatatizo kwenye cm yangu sasa ni wiki na linanikosesha amani cm yangu imekua inajiwasha data yenyewe na kunisababishia charge ya cm kwisha pia muda wote kwakua nipo online inanisababishia bando kwisha haraka na usawa huu wa Anko Magu tafadhali mwenye ufahamu wa hili anijuze.
 
aisee najaribu sana yangu ni Vf 685
4.4.2 kitkat ila inagoma sijui tatizo nini
 
aisee najaribu sana yangu ni Vf 685
4.4.2 kitkat ila inagoma sijui tatizo nini
sio kila simu inatumia njia moja kuroot
kwanza hakikisha umefanya vifuatavyo
1.nenda kwenye setting>> about phone>>build # click
hapo mpaka iseme your already a developer
2.nenda kwenye setting>>developer option weka (√) kwenye USB debugging na unknown source.
then Google app ya kingroot,kingoroot,iroot,towel root au framaroot alaf download mojawapo kisha install na fuata maelekezo nahisi hapo ntakuwa nmekusaidia kiasi
 
ngojanijaribu
 
Marshmallow mwambie atafute Pc tu then aweke kingoroot hata dk 10 hazitoisha.
 
Wakuu naombeni link ya kuangalia mechi ya Arsenal online. Mobdro ina kwamakwama sana
 
Wakuu naomba kuelekezwa app nzuri ya kuconvert texts to speech
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…