muvika online
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 374
- 283
Mkuu usipende kufanya jambo bila kuuliza hasa kama simu yako ume rootSimu yangu nimefuta play store kwa kutumia kingroot,naombeni msaada namna ya kuirudisha
Maana ninazodownload kupitia google znakataa kufanya kazi
You have a long way to go, keep it up.Kuna Hii inaitwa Muvika Online[emoji769] Kwaajili ya Kupakua Season za Korean, Taiwanese , Bollywood na Movies bure season hizo zipo za aina 2 (Zilizotafasiliwa na Ambazo hazijatafasiliwa) Unaweza Download App hiyo Hapa ==>> Download Muvika Online App
kwanini mkuuYou have a long way to go, keep it up.
Nenda google download application inaitwa snaptube apk hyo ndo mpango mzmaNaomba kufaham mna download vip video za twitter?
Mx playerNi application gani ya kuplay video songs kwenye sim zijiselect zenyewe kama music player zinavyofanya.
Msaada mkoroshini
Sababu ni nyingi sana, mkuu heri ungeboresha kwanza web.kwanini mkuu
Imezinhua inaaishia kwenye neno..... downloading preparing.......Nenda google download application inaitwa snaptube apk hyo ndo mpango mzma
Mx player (ina blue logo)Ni application gani ya kuplay video songs kwenye sim zijiselect zenyewe kama music player zinavyofanya.
Msaada mkoroshini
Vidmate bomba sana japo mm baada ya kuipakua nilionywa kuwa hii huharibu simu ni hatari nikaiondoa,Vidmate ipo playstore! Ni nzuri ya kudownload chochote YouTube....
Simu yangu nimefuta play store kwa kutumia kingroot,naombeni msaada namna ya kuirudisha
Maana ninazodownload kupitia google znakataa kufanya kazi
Simu yangu nimefuta play store kwa kutumia kingroot,naombeni msaada namna ya kuirudisha
Maana ninazodownload kupitia google znakataa kufanya kazi
AhsanteSababu ni nyingi sana, mkuu heri ungeboresha kwanza web.
Inanijibu unfortunately google.com stoped,hyo nmedownload last apk pia lucky patcher inazngua hvyoHata mi ilinitokea majuzi cha kufanya ingia Google alafu Download playstore apk(hakikisha iwe ya LATEST VERSION) alafu kama una LUCKS PATCHER (kwa walio ROOTED) ingia na ifanye kama system app,alafu restore simu yako itarejea.kwangu nilitumia njia hii na Nikafanikiwa.