Tushauriane wana MMU

Tushauriane wana MMU

Ni wazo zuri ila sio habari za kuelimisha tu hata za kufurahisha na burudisha nayo ni kazi ya riwaya pia
 
Ni wazo zuri ila sio habari za kuelimisha tu hata za kufurahisha na burudisha nayo ni kazi ya riwaya pia

Watu hawajui ni maana ya fasihi na nini? lengo lake katika jamii.
 
Takwimu zinasema kuwa idadi ya wagonjwa wa akili inaongezeka kila kukicha...na kibaya zaidi ni kuwa sio machizi wote wanaokota makopo bali wengine huvaa na kupendeza kama watu wa kawaida na hao huitwa machizi freshi...hao wanajulikana kwa matendo yao ambayo yanajitenga na wenye akili timamu na kukuacha mdomo wazi kwa mshangao.....na kibaya zaidi chizi hajijui kama kashakuwa chizi mpaka apone uchizi kwanza......
Vile kwenye msafara wa mamba huwezi kumkosa kenge kwani wanafanana kwa muonekano...lakini ukitulia utamjua yupi kenge na yupi mamba...ukishayajua haya hupati tabu sio tu humu JF bali hata kwenye maisha halisi ya kijamii....
 
Habari zenu,nimekuwa msomaji wa habari nyingi za member katika jukwaa hili.Nimeona member ambao wanatuma habari zinazofundisha na ushauri mzuri.Lakini kuna baadhi ya member wamekuwa wakituma Habari zisizoelimisha ila zimekuwa za kuharibu jukwaa.Wengine kama Mimi napenda kusoma Habari humu MMU kwani zinanifundisha mengi.Hivyo sasa wana MMU tufanyaje tufanye jukwaa letu liwe na habari zinazoelimisha na ushauri katika mahusiano na mapenzi na sio habari za kutunga.Tushauriane na sio kutukana.

Una rambooo...!!??
 
unajua sheria wewe ??
sheria gani nimevunja ??
Tatizo letu watanzania hatuwezi kuhandle the truth ndio maana tunadanganywa danganywa ukiambiwa ukweli umevunja sheria isiyojulikana

Sio wewe ni Mimi
 
Habari zinaweza kugawanywa kuendana na mhusika kama ifuatavyo 1.habari ambayo mtumaji ni mhusika mkuu 2.Habari ambayo mhusika alishuhudia . 3.Habari ambayo mtumaji nae aliipata kutoka kwenye media nyingine, .4. Habari ya kufikirika (hypothetical) . Ukitaka habari za kweli na za mahusiano huo ndio udaku wenyewe. unamlete mtu specific mezani na hizi ndizo zinashabikiwa zaidi na ndio maana utasikia weka kapicha. Habari aina ya hypothetical inahitaji wafikiriaji sana .Pia wasomaji wa jf husoma kwa malengo tofauti lakini wengi hupenda kuthibitisha kile wanachodhni au kufikiri, kundi jingine ni kufahamu wasichokijua kabisa ingawa waliowengi hutafuta furaha maana kama kusongoka angaliclick tu habari anayotafuta kupitia search engines. Nimepitia thread za jf hizo za zamani zinazoitwa bora lakini nature yake ni hii hii . Habari zitabadilika pale jamii itakapobadilika ki maendeleo ya ujumla. Hivyo habari uzionazo ndio habari zetu na hakuna habari za jf. Mambo ya mahusiano , mapenzi hayana usomi huo unaotakikana na baadhi yetu ila namna ya kupresent na kureply inaweza kututofautisha kidogo
 
ukitaka leta habari za uongo usipotaka kuwa mchangiaji kama wengi wetu.....tusilaumiane tu tukielezana ukweli.....
 
ukitaka leta habari za uongo usipotaka kuwa mchangiaji kama wengi wetu.....tusilaumiane tu tukielezana ukweli.....

Tena mimi nikiona mtu anatusumbua kwa uongo wake nakuita ili umfichue maana tumechoka
 
Back
Top Bottom