Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,247
- 25,190
- Thread starter
- #21
Bwana MO11 watu wenye tabia kama yangu tunatakiwa kuunda mikakati mikali ya watu kama hao kuwapuuza kwa taaratibu zifuatazo.
1, ukiona thread yake usikomenti chochote tunamuaacha anapita thread yake yakipuuzi, kwa sababu gani nasema hivyo
kukomenti maoni ya aina yoyote iwe kejeli, dharau, ua maon
kunaifanya thread kubaki front page, nakuziba thread zingine zakujenga.
2, watu kama hao kutochangia chochote kwenye thread zao kutawafanya washituke nakujiona kama wanadhaurika kwa kuupuzwa thread zao za matope?
3, kama ukiona huyo mtu tabia yake inakukuela sana. kuna kitufe cha ignore list, unakibonyeza katika id yake.
hii itakusaidia sana kutoona mandishi yake ya aina yoyote
cc Sweetheart Polisi jamii Shake Money
Hapo nimekuelewa ushauri mzuri
Last edited by a moderator: