Tushauriane wana MMU

Tushauriane wana MMU

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,247
Reaction score
25,190
Habari zenu.

Nimekuwa msomaji wa habari nyingi za member katika jukwaa hili.Nimeona member ambao wanatuma habari zinazofundisha na ushauri mzuri.

Lakini kuna baadhi ya member wamekuwa wakituma habari zisizoelimisha ila zimekuwa za kuharibu jukwaa,wengine kama Mimi napenda kusoma habari humu MMU.

Kwani zinanifundisha mengi,hivyo sasa wana MMU tufanyaje tufanye jukwaa letu liwe na habari zinazoelimisha na ushauri katika mahusiano na mapenzi na sio habari za kutunga.

Tushauriane na sio kutukana.
 
Turudishe hadhi ya jukwaa kama hapo awali
 
Toa mfano mmoja ni nani anaeleta habari za kutunga
 
Wataje kabisa wanaotutungia habari ili tukiona thread zao tuwapuuze na kuwaweka kwenye ignore list
 
MMU= CC= JOKES!!! ukiingia mmu umeingia majukwaa hayo.
 
mmoja wapo kati ya hawa wapuuzi ni wewe

Bwana MO11 watu wenye tabia kama yangu tunatakiwa kuunda mikakati mikali ya watu kama hao kuwapuuza kwa taaratibu zifuatazo.
1, ukiona thread yake usikomenti chochote tunamuaacha anapita thread yake yakipuuzi, kwa sababu gani nasema hivyo
kukomenti maoni ya aina yoyote iwe kejeli, dharau, ua maon
kunaifanya thread kubaki front page, nakuziba thread zingine zakujenga.

2, watu kama hao kutochangia chochote kwenye thread zao kutawafanya washituke nakujiona kama wanadhaurika kwa kuupuzwa thread zao za matope?

3, kama ukiona huyo mtu tabia yake inakukuela sana. kuna kitufe cha ignore list, unakibonyeza katika id yake.
hii itakusaidia sana kutoona mandishi yake ya aina yoyote

cc Sweetheart Polisi jamii Shake Money
 
Last edited by a moderator:
Najua wapo wenye busara watakuja
 
Back
Top Bottom