Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
Hello guys, Uhitaji wa internet unazidi kuwa mkubwa kadri siku zinavyosonga mbele, Kumekuwa na changamoto hivi karibuni ya kupata vifurushi vinavyokidhi thamani ya pesa (gharama nzuri + ubora wa spidi + uwepo wa internet bila kukatakata au kupungua spidi na kushuka).
Kwa sasa nawatumia halotel kifurushi cha GB 13 kwa wiki (Sawa na gb 1.8 kila siku) kwa 15,000/=, spidi wako poa sana + bei ipo realistic + hakunaga kukata kata interenet ama spidi kupungua.
Mbadala wangu ni ttcl uni offer kwa line niliyojisajili enzi nipo chuo, napewa mb 600 kwa masaa 24 kwa kulipia 500/=, spidi ipo njema 4g + internet ipo stable hakunaga kupungua spedd ama net kukatakata ila tu changamoto ni kwamba huu mtandao una maeneo yake.
Nimeacha kuwatumia vodacom kwasababu hakuna spidi(mkoani) na bei za vifurushi zimepanda.
TUJUZANE: JE WEWE UNATUMIA KIFURUSHI GANI