Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 639
- 443
kwa nini usidownload ppsspp ukacheza game nyingi 3dIna Ram 3 na memory (internal + external) ni 64 GB
Hilo ninalo mkuu na nilifanikiwa kuhack coins mambo yakawa mubashara kabsaDuhh ingekuwa umesema la mpira kuna linaloitwa The Dream ni zuri kweli kweny simu za Android
kwa nini usidownload ppsspp ukacheza game nyingi 3d
ni portable play station emulator inapatikana play store. ukidownload hiyo unaweza kucheza gemu zote za psp.(play station portable). ukisha download kisha unadownload na gemu unazotaka kama god of war.Hiyo ppsspp ndio nini na naipataje mkuu
Dream league auDuhh ingekuwa umesema la mpira kuna linaloitwa The Dream ni zuri kweli kweny simu za Android
Asphalt zuri sana ila kadri unavyozid kulicheza ndo ukubwa unaongezeka me mara mwisho kulicheza lilikua 2.5GB.Apart from vita from the same game loft kuna hii asphalt 8 airborne nayo sio masihara excellent graphics, controls the best car game kwenye simu
jamna naombeni kujuzwa games nzuri za android zinazochezeka bila longolongo
Hiyo asphalt 8 naielewa sana game ambayo ipoo vzr haswa ila kwa football nitajie moja nzr zaidiAsphalt 8
Gubship Battle
Front line Commando
MC4
NOVA
Real racing
Asphalt 8
Gubship Battle
Front line Commando
MC4
NOVA
Real racing
"Major Gun"...uta-enjoy mwenyewe