Tushapoteza 'advantage' dhidi ya Al Ahly

Ahhhhh mkuu mbona unaniangusha, adui wa kwanza wa kufeli ni kutokujikubali mimi achana na mawazo mgano na maono yenye hasi katika maisha yako, sisi ndiyo simba banah tunampiga mtu we subiri
Mkuu wenzetu thamani ya kikosi chao 68B si cha kwetu hata 2B hakifiki; Sisi ni underdog kwenye haya mashindano kuanzia uzoefu,na vingine though kwenye mpira lolote laweza tokea. Tupo na simba yetu nyuma lakini tunahitaji reformz kwenye kikosi mpaka bench, haiwezekani tuna wachezaji 10profissionz lkn wa nashindwa deliver chochote kwenye haya mashindano. All in all tupo pamoja This is .............
 
Salamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyu
kama mlivyomuwai mbuyutwite...simba hakuna mchezaji yoyote amewai kucheza yanga kasoro okwi na yeyealikuja kula hela za manji tu..
yondani,ngasa,ajib,tambwe yote ni masalia tuliyowaachia
 
ha haaaaaa......................hao mikia fc....
 
Kujilinganisha ni udhaifu mkubwa tuliokua nao watanzania mkuu, hata mtoto alianza kukaa, akaja kutambaa, akaanza kusimama na hatimaye akatembea, kila kitu ni mchakato
 
Mkuu kwanini hatupendi kukubali ukweli?! Unahisi hata hao Al Ahly wakijituma mbele ya Barcelona watapata matokeo? Sijui umenipata point yangu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…