nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Salamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyuIlitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana
Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji wazembe na hata fununu zinazotembea sasa hivi ziendelee tu maana kuna wachezaji ni ma punda bila viboko hawaendi, wajue wana miezi michache tu ya kuonyesha uwezo wake, hivi mtu kama salamba leo akirudi lipuli kuna mtu atamlilia? mnapewa nafasi mnaichezea,ulevi na mademu tu?
shubamiiit.
Mwenye maamuzi siku ya mwisho ni mchezaji anaangalia wapi patamfaa, mchezaji akiwa sokoni huwezi kusema eti kwa kuwa yanga ndiyo walianza kutangaza that is nonsense thoughtsSalamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyu
HahahaHiyo mvua ndo uchawi wenyewe wa hao mbumbumbu wazee wa kupigwa 5+5
Waambiwe ukweli tu hakuna namna, watu kama hawajitumi tunawabeba wa kazi gani Mo yupo sahihi, watakaa bench mpaka waombe kuondoka kwenye club, hatuktaki kufungwa goli nyingi kama vile ilihali wachezaji wanalipwa pesa ndefuMo kafanya kosa kubwa kusema kuna wachezaji wataachwa...morali itashuka
Mkuu tunawachezaji wazuri wakucheza na mwadui na stand utd na ndanda lakini sio na alhalyHali ya hewa iwe mbaya au nzuri sisi tunataka wachezaji wetu wapige kabumbu safi, tuna wachezaji mahiri kabisa simba oyeeee
Michezaji inakula pesa tu na haya tupi kitu tunachokitaka hao ni mizigo ikiwezekana ifutwe timu nzima tuanzee upyaaaaaaaaMo kafanya kosa kubwa kusema kuna wachezaji wataachwa...morali itashuka
Mtu anaishi Dar anajiona kuwa kuna joto kuliko Alexandria, katembelee kule miezi ya Juni hadi September uone joto lakeIlitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana
Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji wazembe na hata fununu zinazotembea sasa hivi ziendelee tu maana kuna wachezaji ni ma punda bila viboko hawaendi, wajue wana miezi michache tu ya kuonyesha uwezo wake, hivi mtu kama salamba leo akirudi lipuli kuna mtu atamlilia? mnapewa nafasi mnaichezea,ulevi na mademu tu?
shubamiiit.
Wanalipwa pesa ndefu kuliko wachezaji wa Al ahly?Waambiwe ukweli tu hakuna namna, watu kama hawajitumi tunawabeba wa kazi gani Mo yupo sahihi, watakaa bench mpaka waombe kuondoka kwenye club, hatuktaki kufungwa goli nyingi kama vile ilihali wachezaji wanalipwa pesa ndefu
Hapana mkuu hapo ndo wapambane ili MTU asifeli mtihani,,,huwaga wanajisahauMo kafanya kosa kubwa kusema kuna wachezaji wataachwa...morali itashuka
Heri washinde benchi Simba kuliko washinde njaa Yanga. Nani anayependa njaa wakati umri wenyewe wa kucheza mwisho miaka 35?Salamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyu
Ahhhhh mkuu mbona unaniangusha, adui wa kwanza wa kufeli ni kutokujikubali mimi achana na mawazo mgano na maono yenye hasi katika maisha yako, sisi ndiyo simba banah tunampiga mtu we subiriMkuu tunawachezaji wazuri wakucheza na mwadui na stand utd na ndanda lakini sio na alhaly
Hahaha hujakosea kabisa mkuu, kule mpaka watembeze bakuli ndio wale.Heri washinde benchi Simba kuliko washinde njaa Yanga. Nani anayependa njaa wakati umri wenyewe wa kucheza mwisho miaka 35?
Inawezekana hii taarifa ya kuondosha baadhi ya wachezaji ilishaanza kuwatafuna internallySimba itafute Mtaalam wa Saikolojia ili awasaidie wachezaji wake. Walivyocheza na Mbabane Swallows, Nkana na hata walivyocheza na Soura wachezaji walikuwa na hamasa kubwa ya kujituma uwanjani. Tofauti na walivyocheza na AS Vita au Al-Ahly walikosa hali ya kujituma, Wanakabia macho, wakinyang'anywa mpira wala hawajisumbui kuutafuta, wakifungwa wanacheka na kutabasamu tu wala hawaumizwi na vichapo, mabeki hawarukii mipira ya kona au Cross utazani wamepewa posho na Timu pinzani. Timu hata ikizidiwa uwezo basi waonyeshe hali ya kupambana. Vichapo vya Hamsa vinavunja moyo kwa kweli