nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Ilitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana
Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji wazembe na hata fununu zinazotembea sasa hivi ziendelee tu maana kuna wachezaji ni ma punda bila viboko hawaendi, wajue wana miezi michache tu ya kuonyesha uwezo wake, hivi mtu kama salamba leo akirudi lipuli kuna mtu atamlilia? mnapewa nafasi mnaichezea,ulevi na mademu tu?