Tushapoteza 'advantage' dhidi ya Al Ahly

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Ilitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana

Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji wazembe na hata fununu zinazotembea sasa hivi ziendelee tu maana kuna wachezaji ni ma punda bila viboko hawaendi, wajue wana miezi michache tu ya kuonyesha uwezo wake, hivi mtu kama salamba leo akirudi lipuli kuna mtu atamlilia? mnapewa nafasi mnaichezea,ulevi na mademu tu?
 
shubamiiit.
Salamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyu
 
Simba itafute Mtaalam wa Saikolojia ili awasaidie wachezaji wake. Walivyocheza na Mbabane Swallows, Nkana na hata walivyocheza na Soura wachezaji walikuwa na hamasa kubwa ya kujituma uwanjani. Tofauti na walivyocheza na AS Vita au Al-Ahly walikosa hali ya kujituma, Wanakabia macho, wakinyang'anywa mpira wala hawajisumbui kuutafuta, wakifungwa wanacheka na kutabasamu tu wala hawaumizwi na vichapo, mabeki hawarukii mipira ya kona au Cross utazani wamepewa posho na Timu pinzani. Timu hata ikizidiwa uwezo basi waonyeshe hali ya kupambana. Vichapo vya Hamsa vinavunja moyo kwa kweli
 
Mwenye maamuzi siku ya mwisho ni mchezaji anaangalia wapi patamfaa, mchezaji akiwa sokoni huwezi kusema eti kwa kuwa yanga ndiyo walianza kutangaza that is nonsense thoughts
 
Ilitarajiwa wangekutana na joto kali lakini daah,haka ka mvua jamani,watakutana na hali nzuri tyu ya hewa kilichobaki wachezaji wa simba mpambane sana
Nimefurahia kauli ya Mo kuhusu wachezaji wazembe na hata fununu zinazotembea sasa hivi ziendelee tu maana kuna wachezaji ni ma punda bila viboko hawaendi, wajue wana miezi michache tu ya kuonyesha uwezo wake, hivi mtu kama salamba leo akirudi lipuli kuna mtu atamlilia? mnapewa nafasi mnaichezea,ulevi na mademu tu?
shubamiiit.
Mtu anaishi Dar anajiona kuwa kuna joto kuliko Alexandria, katembelee kule miezi ya Juni hadi September uone joto lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamba yanga walimtaka simba mkajitia ujanja kumteka ,yanga wakamtaka kagere bado mkamuwahi yaani yanga akitangaza kumtaka mchezaji mnawahi haya pambaneni na hali zenyu
Heri washinde benchi Simba kuliko washinde njaa Yanga. Nani anayependa njaa wakati umri wenyewe wa kucheza mwisho miaka 35?
 
Simba itafute Mtaalam wa Saikolojia ili awasaidie wachezaji wake. Walivyocheza na Mbabane Swallows, Nkana na hata walivyocheza na Soura wachezaji walikuwa na hamasa kubwa ya kujituma uwanjani. Tofauti na walivyocheza na AS Vita au Al-Ahly walikosa hali ya kujituma, Wanakabia macho, wakinyang'anywa mpira wala hawajisumbui kuutafuta, wakifungwa wanacheka na kutabasamu tu wala hawaumizwi na vichapo, mabeki hawarukii mipira ya kona au Cross utazani wamepewa posho na Timu pinzani. Timu hata ikizidiwa uwezo basi waonyeshe hali ya kupambana. Vichapo vya Hamsa vinavunja moyo kwa kweli
Inawezekana hii taarifa ya kuondosha baadhi ya wachezaji ilishaanza kuwatafuna internally
Hata mke huwa haambiwi ntakuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom