Tushaachana na kaniblock sahivi kapoteza funguo anaomba nimsaidie

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,497
99,296
Ni hivi,

Tangu tar 25 June niliachwa rasmi Tena kwa karaha na kublockiwa namba zote kila mtu ashike 50 zake NIKAKUBALI MATOKEO.

Leo jioni Nashangaa simu zake nyng ananipigia ila SIJAPOKEA HATA simu MOJA

Nilipoona usumbufu umezidi
Nikakata kabisa simu yake Kisha kuelekea nyumbani kwangu.

Sahv Nmetulia nyumbani nafungua sms
Nakuta analalamika kapoteza funguo zake na Hana pa kulala nimsaidie nimpatie funguo za nyumbani kwake za akiba nilizonazo Mimi kipind kabla hatujaachana.

AISEE duniani Kuna wanawake Hawana hata mshipa wa aibu

Ina maana huyu asingepoteza funguo zake ndo asingenitafuta tena au vipi?

Inamaana baada ya kupoteza funguo ndo kaamua kunitpa Kwny block au vipi?

Inamaana akishapewa funguo anarudi Tena kuniblock au vipi?

NINACHOFIKIRIA NI KUMUACHA APAMBANE NA HALI YAKE


Screenshot_20230707-210036.jpg
 
Funguo kitu gani,tuma boda azifate.
Kuachana ni akiba ya kesho,kesho yako uijui.
Leo nimekutana na ex wangu baada ya miaka 12 aliponiacha ghafla tukiwa hatua za mwisho kuelekea kutambulishana akaolewa na jamaa aliyenizidi ujanja kwa kutumia nguvu kubwa sana za giza nilikuja kugundua baadae.
Shida ya mapenzi ikanipeleka mlango wa mganga nikachoma milion 4 ili amrejeshe,ikabidi nikubali matokeo kuachia nature akaolewa na jamaa.
Leo nimekutanana nae sabasaba kwa furaha na bashasha kila mmoja alikua happy na mwenzake.
Leo ningemfanyia ubaya kisa maamuzi yake tungetazamana usoni kweli.
Mapenzi Sio ugomvi kubali kuachika.
Kabla sijakutana nae Leo nimekuwa nikimuota zaidi ya Mara kumi sielewi tafsiri yake nini ukimuota ex wako Mara kwa Mara ambae mlishapotezana kitambo.
 
Back
Top Bottom