Tuseme Ukweli; Utafanyaje?!

Mpole mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
315
Reaction score
104
Habari..
Tuambiane ukwel bandugu hali kama hii ikikukuta utafanyaje?
Umelala usiku vizuri tu tena salama na usingizi mzito wenye ndoto tamu na bila kushtuka shtuka ovyo...
Asubuhi kumekucha salama unaamka unakuta sehemu yako ya siri haipo(uke/uume)
..utafanyaje?!..utachukua hatua ipi ya kwanza na utajisikiaje kiukweli kama ndo imekukuta wewe?


Karibuni.
 
hata itoke vipi kishiimo kinabakia

nadhani wakiume ndo wajibu hili maana sisi hatuna tatizo
 
hata itoke vipi kishiimo kinabakia

nadhani wakiume ndo wajibu hili maana sisi hatuna tatizo
kama itatoka hakitakuwa kishimo tena bali jishimo!!labda wa kiume ndo watakuwa na kishimo
 
"Midevu" kakujibu vizuri sana, na ndo jibu sahihi! Lakn maada nyingine kama hizi jamani zinatusaidia nini au zinaingiaje kwenye forum hii?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…