Tuseme ukweli, Serikali inategemea mapato ya wananchi wala siyo lingine

Tuseme ukweli, Serikali inategemea mapato ya wananchi wala siyo lingine

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,415
Kuna clip moja imeniuma sana ikatuponda Afrika jinsi tulivo na vyanzo vya mapato bila kukaba wananchi na kushindwa kuvitumia.

Tukirudi kwetu hapa Tanzania kuna vyanzo vya mapato vingi na hata mwananchi angekuwa mtu wa mwisho kukandamizwa na makodi yasiyo kuwa na sababu.

Tanzania ina eneo kubwa la kilimo,bandari ambayo ineweza kuhudumia nchi zinazozunguka Tanzania,maziwa ya kutosha,wanyama,madini,utalii,mazao na n.k

Ila haya hata moja sioni kufanyika ni zaidi ya kudili na mwananchi tu.

Dubai inategemea airport asilimia kubwa ili kwa ajili ya utalii wake lakini angalia ilivyoweza kuongeza vyanzo vya mapato kama kitovu cha biashara pande zote,sehemu kubwa ya wawezekaji,sehemu ya starehe.

Ila haya yote na wananchi wake wanaishi maisha mazuri.

Ili kwetu hawa wataalamu wa uchumi wanafikiria vipi
 
Hata Kama tukiwanavyo usimamiaji bado ni tatizo watakula wakubwa wanenepe wakishiba watutukane!.. tutengeneze system ya usimamizj makini ambayo itakuwa nauchungu kwa mali ya taifa ila sio hizi timu zinazopiga makofi tu!.
 
Dondosha hiyoo Clp tuzidi kupata machungu...na hawa hayani wrtu
 
Wachungaji/Manabii/Mitumee nao walipe kodiii
 
Huku kila mbuzi yupo busy kula kwa urefu wa kamba yake...
 
Back
Top Bottom