Its depend mdau, jitahidi usinywe zenye hangover!!kweli kizazi cha jeifu kimebadilika, huyu ni respected member humu thread yake haiwezi kukosa wadau namna hii...
vipi kuhusu hangover next day?
USA baby haonekani sikuhizi..Its depend mdau, jitahidi usinywe zenye hangover!!
And then, now days kila zama na kitabu chake.
Ushamwona Nyani Ngabu siku za hivi karibuni?
Haya clap tuonyeshee chupa lako la GRANTSAnyway pamoja na kusaga pesa, pombe inaleta furaha. Bila kujali ni muda gani!!
Yes! Drink responsibly.
Yaaani hatari. Inanifanya kesho nitafute pesa sana.huku kichwa kinanesa nesa kiaina.
anatokeaga mara chaaache sana! masai dada pekee huwa anajitokeza panapohitajika busara.Zama zetu zinapita, ulishamwona Madame B?
naona hapa umesalimia kwa bashasha, bila shaka umeanza kuwaona unaowajua, tokea enzi akiitwa espyMambo niaje? [emoji23][emoji23]
Onyesha chupa onyesha chupa mkuu[emoji3][emoji3] hapa napata mi idea lukuki ya business