Tuseme ukweli kabisa chadema tutawamiss!

Tuseme ukweli kabisa chadema tutawamiss!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Fikiria wakizimika paaa, hlf ghafla hakuna chadema, hatusikii chochote kuhusu wao, bila shaka itapooza na kuboa sana lkn tutazoea kuishi tena bila ujinga na hata wastani wa IQ nchini mwetu utaongezeka, fikiria Lema asisike tena au Sugu, Msigwa au sijui Tundu Lisu, ...
 
Viwanda so hoja tena!!!!!

Hoja ni kuifuta Chadema???

Upinzani si Chadema.

Upinzani upo mpaka kwa Simba na Yanga,

Ulianza kabla ya Vyama vingi!!!

Nakumbuka kunakipindi tulipigia kura jiwe kuliko kiongozi flani
 
hahahahahaaaa ni mtazamo jaman msimseme
 
Upinzani na ukisoaji na kupenda mabadiliko ni asili ya binadamu, kwa wenzetu wazungu wanajua na ndio maana wanaliacha hili, kwa hapa hilo likitokea tutazalisha wanaharakati wenye misimamo mikali ya kiitikadi na namna ya kuwadhibiti itakuwa shida.Omba sana lisitokee, kwa tuliokuwa katika utumishi enzi za mwalimu tunajua kwamba Mwalimu alikabiri majaribio 8 ya kupinduliwa tangu Uhuru lakini tangu 1992 ulipokuja mfumo wa vyama vingi hatujawahi kuwa na jaribio la mapinduzi, TAFAKARI
 
Fikiria wakizimika paaa, hlf ghafla hakuna chadema, hatusikii chochote kuhusu wao, bila shaka itapooza na kuboa sana lkn tutazoea kuishi tena bila ujinga na hata wastani wa IQ nchini mwetu utaongezeka, fikiria Lema asisike tena au Sugu, Msigwa au sijui Tundu Lisu, ...
Wataibuka wengine
 
Back
Top Bottom