Tusaidiane majibu hapa

W
Chama ni wanachama na mfumo wao wa utendaji wanabyofuata katiba yao na miongozo yao kichama.Kimantiki kila chama kinamfumo mzuri kwa wanavhama wake na hata baadi wasio wanachama,mara nyingi utekelezaji wa yale wanayoyahubiri ambao kwa kias kikubwa inategemeana na watu kwa maana ya wanavhama.CCM ILIISHA JUA YOOITE KUHUSU KUCHOKWA NA WATANZANIA WALICHO JALIWA NI KUKUBALIANA NAUKWELI HUO NA WAKATUMIA UDHAIFU WAO NA KUANGALIA UIMARA NA UDHAIFU WA UPINZANI WAKAUTUMIA.
CCM HII CHINI YA RAIS HUYU sio ya awamu iliyotangulia kamwe katu hata kidogo.Kilio cha watu kilivhosababisha watu waichoke ndio kilichotumika kuibadili kwa nia ya dhati na kuifanya iwe moto tena moto wa kuotea mbali.
Ni kosa la kitaalamu kudhani upnzani utaishnda ccm BILA UPINZANI KUFANYA MABADILIKO YA FIKRA MAPEMA NA HARAKA.
Kama ni mpira wanachezewa nusu uwanja huku wakiwa pungufu na mbaya zaid waoX hawajui hilo, wana amini kushnda mechi huku kocha na nahodha hakuna anaetoa hamasa,NI BURE KABISA
Watu wanashabikia vyama lakini maslahi ya taifa ni muhimu sana. Katika tofauti tunazotaja kuwa zinasababisha chama cho chote kuchokwa na wananchi maslahi ya taifa yapaswa kuwa kigezo cha kupendwa au kuchokwa kwa chama cho chote. Mimi napendekeza mkuu wa kaya kama anavyosema yuko kwa ajuili ya watanzania wote, akae na viongozi wa vyama vyote, maslahi ya taifa yabainishwe na wote tufanye kazi ya kuwaletea wananchi maendeleo kwa kuzingatia maslahi ya taifa. Siamini kwenye utitiri wa vyama, vipunguzwe vibaki vine vyenye nguvu, vilivyoshindwa kupata viongozi katika ngazi za vitongoji, madiwani na wabunge wajiunge na vyama vilivyoimarika ili kuwa na nguvu ya kutosha kwa kila chama.
 
Ni hulka ya binadamu kukinai au kukichoka kitu fulani pale anapokuwa nacho au kukitumia kwa muda mrefu na hivyo hutaka kubadili/kukibadili kwani anakuwa amekichoka /amekikinai.

Mifano michache:

Binadamu akila chakula cha aina moja kwa muda mrefu au akila chakula cha aina moja mfululizo humfanya akikinai na kutaka kubadili aina ya chakula.

Binadamu huyu huyu akisikiliza aina fulani ya muziki mfululizo kwenye CD,n.k humchosha na kutamani kusikia nyimbo nyingine tofauti kabisa na hiyo.

Vile vile wimbo ukivuma sana baada ya muda fulani watu huuchoka(tunasema umechuja) hata kama wimbo huo ulikuwa unapendwa kiasi gani.

Binadamu huyu hata akikaa sehemu moja kwa muda mrefu utamsikia anaanza kulalamika hapa mahala pamenichosha jamani ngoja nibadili mazingira au nifanye utaratibu wa kuhama.

Watu pia habadili style na mitindo ya maisha kwasababu wamekuwa nayo kwa muda mrefu na hivyo style na mitindo hiyo inakuwa imewachosha.Mfano kina Dada na mitindo ya usukaji nywele,n.k.

Kali kuliko zote.Binadamu huyu humchoka hata binadamu mwenzake(mpenzi) na kuamu kumtosa na kutafuta mwingine.

Sasa kama tunaweza kukinai karibu kila kitu mpaka binadamu wenzetu, inakuwaje baadhi ya wenzetu "CCM" haiwachoshi?

Hivi vitu vingine binadamu tunavikinai automatically tu,sasa inakuwaje CCM hii na makandokando yake yote mtu bado haikuchoshi?

Sijui tumelogwa?!

Kwakweli sipati majibu wacha tu niishie hapa maana kichwa kimeanza kuuma na bahati mbaya hata hela ya panadol sina kutokana na hali ngumu ya uchumi mifukoni mwangu.

Mwalimu Nyerere,mwaasisi wa chama hikii, aliwahi sema CCM si mama yangu na kwamba siku kikikiuka misingi ya kuanzishwa kwake atajitoa.

Sasa kama Nyerere alitamka hayo,nyie wenzangu na mimi mnasubiri nini huko CCM wakati wamesema wazi kuwa hawawezi kufukua makuburi?
mkuu mimi sina uhakika sana na hiyo kauli yako ya kuwa CCM haijachokwa. Labda nikuulize unauamini mfumo wetu wa uchaguzi kuwa unayo democrasia na uhuru wa haki kutendeka? Nadhani jibu lake ndo sababu ya CCM kuendelea.
 
Ccm ilianguka vibaya sana na ushaidi nadhani upo ila basi tu watu wameichoka lakini kusimama kwenye mstari na kupiga kura kwa upinzani kwa 100% hakutoshi kuiondoa fisim pale ilipo, tukiacha siasa kuna mambo yanayochokwa na kuna mambo yasiyochokeka!
 
Salary Slip,Mimi nashindwa kukuelewa kwa hii falsafa unayojaribu kutuaminisha nayo, Kwanini watu wanaendelea kuishi Duniani na hawajaikataa kuwa eti imewachosha?, kwanini watu wanaendelea kutembea juu ya Ardhi na hawajasema eti wamechoka?, kwa nini watu wanaendelea kutumia pua zao na hawajasema zimewachosha?
Kwanini Watu wameendelea kuongozwa na mtu kama Mbowe ambaye hana elimu hata ya Form vi lakini bado hawasemi kuwa amewachoka?
Unatakiwa ujibu kwanza haya kwa ufasaha ndipo sasa ulete hicho ulichokileta.
Mkuu,kunywa soda,the bill on me!umegonga mulemule!
Nikweli kazi ipo, kama wapo watu wanaoamini kuwa Chadema nacho ni chama cha Siasa badala ya chama cha kutafutia Ruzuku, kweli kazi ipo. Hapo sasa umeanza kuelewa. Mbowe kukipangisha chama na kukitoza pango kwa bei anayoamua yeye na mkewe, halafu huyo huyo mkewe ndiye muhasibu mkuu wa chama, halafu nyumbu wanaona eti hicho ndicho kiwe mbadala wa CCM, Maajabu ya mbwa kuota mapembe. Kweli kazi ipo.
Mirror Effect!safi sana!
Umeongea ukweli kabisa ambao hata upinzani tunaweza kupata mifano yake.

Mbowe.....mwenyekiti zaidi ya miaka kumi

Lipumba mwenyekiti zaidi ya miaka kumi

Mbatia vivyo hivyo

Maalim vivyo hivyo....

Tunapoikataa CCM tuhakikishe kuwa hawatapata mifano ya ambayo watasema " hata nyie"
Huo ndio ukweli mchungu CHADEMA wasiotaka kuukubali!
Hoja za kuruka ruka kama pimbi ni kupoteza muda, hukumbuki Msigwa aliwahi kusema atakayemuunga Mkono Lowasa akapimwe akili, je kauli hii mbona huiongelei unarukia mahakama na milioni kumi ? Ama kweli Nyani haoni Kundule.
Asante mkuu
 
Chama ni wanachama na mfumo wao wa utendaji wanabyofuata katiba yao na miongozo yao kichama.Kimantiki kila chama kinamfumo mzuri kwa wanavhama wake na hata baadi wasio wanachama,mara nyingi utekelezaji wa yale wanayoyahubiri ambao kwa kias kikubwa inategemeana na watu kwa maana ya wanavhama.CCM ILIISHA JUA YOOITE KUHUSU KUCHOKWA NA WATANZANIA WALICHO JALIWA NI KUKUBALIANA NAUKWELI HUO NA WAKATUMIA UDHAIFU WAO NA KUANGALIA UIMARA NA UDHAIFU WA UPINZANI WAKAUTUMIA.
CCM HII CHINI YA RAIS HUYU sio ya awamu iliyotangulia kamwe katu hata kidogo.Kilio cha watu kilivhosababisha watu waichoke ndio kilichotumika kuibadili kwa nia ya dhati na kuifanya iwe moto tena moto wa kuotea mbali.
Ni kosa la kitaalamu kudhani upnzani utaishnda ccm BILA UPINZANI KUFANYA MABADILIKO YA FIKRA MAPEMA NA HARAKA.
Kama ni mpira wanachezewa nusu uwanja huku wakiwa pungufu na mbaya zaid waoX hawajui hilo, wana amini kushnda mechi huku kocha na nahodha hakuna anaetoa hamasa,NI BURE KABISA
Udhaifu wetu Umekuwa Nguvu Yetu!
Asante kwa Ufafanuzi!
 
Waliotuhumiwa kugawana milioni kumi kumi hivi karibuni ni kina nani?

Waliotuambia Mahakama ya Mafisadi imekosa watu ni kina nani?

Hawa watu hamuwakinai tu?
MKUU NAONA WATU WANAJARIBU KUKUTOA KWENYE HOJA HAWANA LOLOTE HAO AKINA NANIHI WAKO MADARAKANI KWA KUCHAGULIWA?REJEA ULE UZI"POGBA HUYU NI HASARA"
 
Nikweli kazi ipo, kama wapo watu wanaoamini kuwa Chadema nacho ni chama cha Siasa badala ya chama cha kutafutia Ruzuku, kweli kazi ipo. Hapo sasa umeanza kuelewa. Mbowe kukipangisha chama na kukitoza pango kwa bei anayoamua yeye na mkewe, halafu huyo huyo mkewe ndiye muhasibu mkuu wa chama, halafu nyumbu wanaona eti hicho ndicho kiwe mbadala wa CCM, Maajabu ya mbwa kuota mapembe. Kweli kazi ipo.
Lumumba mmechangamka mpaka raha haya hongereni mmeingiza siku
 
CCM iliwachosha sana watanzania ila hakukuwa na chaguo lingine.
Bora CCM iendelee kutawala milele kuliko kuchagua fisadi awe rais wa Tanzania.
Unamaanisha wagombea walikuwa wawili tu yaani fisadi na huyo unayeamini si fisadi? Tuna safari ndefu kama hawa ndo wapiga kura wetu!
 
CCM iliwachosha sana watanzania ila hakukuwa na chaguo lingine.
Bora CCM iendelee kutawala milele kuliko kuchagua fisadi awe rais wa Tanzania.
Buku 7 imekupofusha kabisa unajifanya ujui kinachoendelea nchini
 
Ni hulka ya binadamu kukinai au kukichoka kitu fulani pale anapokuwa nacho au kukitumia kwa muda mrefu na hivyo hutaka kubadili/kukibadili kwani anakuwa amekichoka /amekikinai.

Mifano michache:

Binadamu akila chakula cha aina moja kwa muda mrefu au akila chakula cha aina moja mfululizo humfanya akikinai na kutaka kubadili aina ya chakula.

Binadamu huyu huyu akisikiliza aina fulani ya muziki mfululizo kwenye CD,n.k humchosha na kutamani kusikia nyimbo nyingine tofauti kabisa na hiyo.

Vile vile wimbo ukivuma sana baada ya muda fulani watu huuchoka(tunasema umechuja) hata kama wimbo huo ulikuwa unapendwa kiasi gani.

Binadamu huyu hata akikaa sehemu moja kwa muda mrefu utamsikia anaanza kulalamika hapa mahala pamenichosha jamani ngoja nibadili mazingira au nifanye utaratibu wa kuhama.

Watu pia habadili style na mitindo ya maisha kwasababu wamekuwa nayo kwa muda mrefu na hivyo style na mitindo hiyo inakuwa imewachosha.Mfano kina Dada na mitindo ya usukaji nywele,n.k.

Kali kuliko zote.Binadamu huyu humchoka hata binadamu mwenzake(mpenzi) na kuamu kumtosa na kutafuta mwingine.

Sasa kama tunaweza kukinai karibu kila kitu mpaka binadamu wenzetu, inakuwaje baadhi ya wenzetu "CCM" haiwachoshi?

Hivi vitu vingine binadamu tunavikinai automatically tu,sasa inakuwaje CCM hii na makandokando yake yote mtu bado haikuchoshi?

Sijui tumelogwa?!

Kwakweli sipati majibu wacha tu niishie hapa maana kichwa kimeanza kuuma na bahati mbaya hata hela ya panadol sina kutokana na hali ngumu ya uchumi mifukoni mwangu.

Mwalimu Nyerere,mwaasisi wa chama hikii, aliwahi sema CCM si mama yangu na kwamba siku kikikiuka misingi ya kuanzishwa kwake atajitoa.

Sasa kama Nyerere alitamka hayo,nyie wenzangu na mimi mnasubiri nini huko CCM wakati wamesema wazi kuwa hawawezi kufukua makuburi?
Watu tunapenda miziki ya zamani kwa kuwa old is gold. Sijui unajua hilo. Unajua miziki ya 1970s and 1980s bado inapendwa sana kuliko hata baadhi ya nyimbo za sasa.
 
Aiseeee mie nakula ugali kuanzia mwanzo wa mwaka hadi mwisho na sichoki hivyo naona hizo arguments zako hazina mashiko japo kiukweli hata mie nimeichoka hiyo kijani
 
Back
Top Bottom