U urasa JF-Expert Member Aug 12, 2010 434 2 Oct 24, 2010 #1 hivi kwanini mikoa inayoikumbatia ccm hapa tz ni masikini ya kutupwa?mimi ninayoijua ni singida,lindi,mtwara na tabora,jf plz,ni serious ishu haswa tunapoelekea kwenye uchaguzi,tuisaidie wafanye maamuzi sahihi
hivi kwanini mikoa inayoikumbatia ccm hapa tz ni masikini ya kutupwa?mimi ninayoijua ni singida,lindi,mtwara na tabora,jf plz,ni serious ishu haswa tunapoelekea kwenye uchaguzi,tuisaidie wafanye maamuzi sahihi
Rutashubanyuma JF-Expert Member Sep 24, 2010 219,470 911,174 Oct 24, 2010 #2 Uchaguzi huu itakushangaza hiyo mikoa................ingawaje umasikini ndiyo nondo ya CCM kubaki madarakani
Uchaguzi huu itakushangaza hiyo mikoa................ingawaje umasikini ndiyo nondo ya CCM kubaki madarakani
U urasa JF-Expert Member Aug 12, 2010 434 2 Oct 24, 2010 Thread starter #3 twapaswa kuwafikishia ujumbe kwa namna yoyote ile ili hizi harakati za kuelekea uhuru wa kweli ziwe nchi nzima,pamoja tutashinda
twapaswa kuwafikishia ujumbe kwa namna yoyote ile ili hizi harakati za kuelekea uhuru wa kweli ziwe nchi nzima,pamoja tutashinda
tzjamani JF-Expert Member Oct 9, 2010 995 30 Oct 24, 2010 #4 Mtaji wa ushindi wa CCM ni ujinga na umaskini wa waTZ. Wanasema tunaongoza kwa ridhaa ya wajinga wengi.
Mtaji wa ushindi wa CCM ni ujinga na umaskini wa waTZ. Wanasema tunaongoza kwa ridhaa ya wajinga wengi.