Tusaidiane kujua katika uteuzi wa Jana wa makatibu wakuu wa wizara waliotenguliwa akina nani na ingizo jipya akina nani

mkamanga original

JF-Expert Member
Jan 21, 2015
614
597
Great thinker tusaidiane kuchambua uteuzi uliofanyika Jana na Mh.Rais ili kutambua ingizo jipya ni akina na CV zao kwamba walikuwa wapi kabla ya uteuzi, na waliotenguliwa ni akina nano
Nimeomba great thinker nikiamini huku ndio kunakopatikana habari za usahihi kiliko social media zozote,
 
Hivi ndugu katanga ndo katenguuliwa ?
 
Back
Top Bottom