Tusaidiane kujikwamua kupitia mitandao ya kijamii

Tusaidiane kujikwamua kupitia mitandao ya kijamii

A love

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
93
Reaction score
119
Ninaimani ,humu jf kuna watu wanapiga pesa kupitia mitandao tena wakiwa wanekaa tuu, Tupeane basi maarifa na jinsi ya kuzipata hizo ,tusaidiane kujikwamua kupitia mitandao ya kijamii maana kuna wengine wanapiga pesa hadi kupitia fb, tusinyimane bas ,tusaidizane , maisha magumu jamani watu tunakufa na njaa
 
Na Mimi naugana na wewe, jinsi ya kupata pesa nikiwa kwenye kabiashara kangu
 
Mkuu usifikiri kwamba ni rahisi namna hiyo. Misoto wake unaumiza kinoma. Jau na kuna time ikifika unaweZa ona jau
 
Back
Top Bottom