Tusaidiane kuhusu course work

Tusaidiane kuhusu course work

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,423
kama ambavyo inafahamika kwa vyuo vikuu vyetu course work ni 16 ikiwa chini ya hapo huwezi fanya mtihani lakini mwanachuo anaruhusiwa kuomba assgniment au seminar,swali langu ni kua lecture anaweza kugoma kutoa assgnment au semina??
 
Cha kwanza ujue tofauti ya lecture na lecturer

Cha pili kikubwa cha kuzingatia ukifika chuo ni kwamba

Lecturer wana madaraka makubwa ya kukufanya watakacho

Lecturer ndiye anayeamua kila kitu juu ya course work yako kugoma kukupa kama ulimiss ni kitu cha kawaida sana

Cha msingi soma na usikose test wala quiz usije kujifanya umekizoea chuo

Na usiombe kuuza sura na demu lecturer anayemfukuzia utarudi nyumban utumwe dukani
 
Ha ha ha aha nimependa hapo usiombe kuuza sura na demu lecturer anamzimia...
nadhani ntakuwa makini hapo..
 
Coursework marks

Tests, quiz, presentation, group or individual assignment

Au attendance
 
Ha ha ha aha nimependa hapo usiombe kuuza sura na demu lecturer anamzimia...
nadhani ntakuwa makini hapo..

Hahahaha

Hongereni kwa kujiunga na chuo

Sometimes napamiss sana nikikumbuka huh!
 
ki ukweli kila anayeende univsty lazma kwa sasa ana tension za kuingia maahala pale ..lkn tukipeana taarifa kama zile .unaenda pale ushakuwa mwenyeji kifikra ..kwahiyo mambo ambayo si muhimu tunayeepuka ..
asante for ur thread znanijulisha maana ya vsrty
 
kama ambavyo inafahamika kwa vyuo vikuu vyetu course work ni 16 ikiwa chini ya hapo huwezi fanya mtihani lakini mwanachuo anaruhusiwa kuomba assgniment au seminar,swali langu ni kua lecture anaweza kugoma kutoa assgnment au semina??

du yaan coursework 16!??? mmmh nawaonea wivu ningesomaga vyuo hivyo,

MWECAU ni 20 /40, au kwa corse yenye 50 ni 25/50, na UE upate nusu ya marks zote vinginevyo imekula
 
kama ambavyo inafahamika kwa vyuo vikuu vyetu course work ni 16 ikiwa chini ya hapo huwezi fanya mtihani lakini mwanachuo anaruhusiwa kuomba assgniment au seminar,swali langu ni kua lecture anaweza kugoma kutoa assgnment au semina??

Soma na kuelewa vizuri by-laws na course/ module handbooks.
 
Lakini siyo vyote kwamba lazima ufikishe 16..mfano Udsm pale Coet na Cönas hiyo ya 16 haipo! Mtu unaweza kuwa na chini ya hapo na unafanya ue Kama kawaida...lakini inabidi mtu ujitume Sana!
 
nimekupa vyema mkuu
 
Cha kwanza ujue tofauti ya lecture na lecturer

Cha pili kikubwa cha kuzingatia ukifika chuo ni kwamba

Lecturer wana madaraka makubwa ya kukufanya watakacho

Lecturer ndiye anayeamua kila kitu juu ya course work yako kugoma kukupa kama ulimiss ni kitu cha kawaida sana

Cha msingi soma na usikose test wala quiz usije kujifanya umekizoea chuo

Na usiombe kuuza sura na demu lecturer anayemfukuzia utarudi nyumban utumwe dukani

maelezo mazuri mkuu ila hujajibu swali
 
ki ukweli kila anayeende univsty lazma kwa sasa ana tension za kuingia maahala pale ..lkn tukipeana taarifa kama zile .unaenda pale ushakuwa mwenyeji kifikra ..kwahiyo mambo ambayo si muhimu tunayeepuka ..
asante for ur thread znanijulisha maana ya vsrty

changamoto ni nyingi sana but mtegemee sana MUNGU mana kuna walimu wanakuambia "nikitaka utafaulu nisipo taka hufaulu"kazi sana.
 
Seminar kwa udsm ni compusory lazima uhudhurie ufanye presentation uandike na u submit kwa seminar leader. Assignment zinazotelewa na malectures pia hawawezi kugoma kutoa assignment mana ni part ya course almost zote. Hyo 16 unaweza Iona ndogo ila wengi huwa hawafikishi na wana carry masomo.
 
Ss km bcom -accounting kuna wanafunzi 220 inamaana kila mwanafunzi anafanya presentation?
 
Ndio kila seminar hujumuisha watu thelathini hadi 40 wanakua in groups hafu kuna kuwa na seminars zaidi ya tano mda tofauti. So jiandae tu
 
kama ambavyo inafahamika kwa vyuo vikuu vyetu course work ni 16 ikiwa chini ya hapo huwezi fanya mtihani lakini mwanachuo anaruhusiwa kuomba assgniment au seminar,swali langu ni kua lecture anaweza kugoma kutoa assgnment au semina??

Mkuu unasoma Chuo Kikuu kweli au Shule za kata? Labda binafsi nisaidie ni Chuo gani hicho chenye course work ya 16? Naomba pia niulize ni course work au ni continuous assessment? Binafsi Chuo changu tuna continuous assessment ya 40% na nilichopo sasa continuous assessment ni 60%. Siku hizi serious universities duniani hawana tena hiyo unayoiita course work na sasa umenisaidia kujua ni kwanini wagombea wote wa Urais moja ya vipaumbele vyao ni suala zima la Elimu. Karne hii kweli kuna chuo bado kina mfumo wa course work? Nimeshtuka na kushangaa mno.
 
hiyo system bado ipo siku ukirudi kutoka huko kwenu burundi fanya kautafiti kidogo,course work still there
 
kama mkiharibu kazi halaf hamueleweki mnanyimwa halaf mnapigwa quiz, huku nlipo ishawahi tokea. Na kuhusu course work usiwaze coz kwengine ni kubwa kuliko 16. Nenda kwanza chuo mengine utajifunzia huko, try being flexible you'll survive!
 
Mkuu unasoma Chuo Kikuu kweli au Shule za kata? Labda binafsi nisaidie ni Chuo gani hicho chenye course work ya 16? Naomba pia niulize ni course work au ni continuous assessment? Binafsi Chuo changu tuna continuous assessment ya 40% na nilichopo sasa continuous assessment ni 60%. Siku hizi serious universities duniani hawana tena hiyo unayoiita course work na sasa umenisaidia kujua ni kwanini wagombea wote wa Urais moja ya vipaumbele vyao ni suala zima la Elimu. Karne hii kweli kuna chuo bado kina mfumo wa course work? Nimeshtuka na kushangaa mno.
Punguza ujuaji. Angalia Havard et al. Utakuta coursework. Sijui umetokea wapi unaandika kwa kukurupuka.
 
So upo Havard? Vyuo vyetu TZ course work ni msamiati wa kawaida sana ndio maana mwenye post alizungumzia hilo. Na hii haimaanishi vyuo vyetu haviko serious. Mpe jibu kuliko kumfanyia ulinganisho na Havard.
 
Back
Top Bottom