siyo kuwa ninawatetea. tangazo ulilolileta mwanzo halikuwa na "context" ya ku-refer. kwa hiyo, mtu angechukulia kuwa panaongelewa Uchumi kama concept, uzalishaji,uuzaji,viwanda nk. katika kiswahili sahihi ingetumika Uchumi wetu. lakini baada ya kuona picha ya supermaket, ndio nikasema hili jengo, ni kama nyumba, kampuni kwa hiyo lile bango lilikuwa sahihi kutokana na kuwa wanazungumzia, jengo, nyumba,kampuni.
Nimeona hapo juu, umekubali ufafanuzi wa mchangiaji aliyesema Uchumi ni jina la kampuni yenye msururu wa supermarket.
Kwa vile uliridhika,sifikirii kama bado ungependa kujua kama mimi ni mkenya au mbongo!!!