Tusaidiane hapa

Usiri siri sio jambo zuri kwenye uhusiano.
Kiburi pia sio ishu kwenye uhusiano.
Si vibaya kua na mtu mwenye mtoto ila hua wanapenda kufananisha huduma unazotoa kwa watoto wako na huyo uliemkuta nae.
Mdada wa miaka 18 halaf ndo kamaliza form four bado ana ishu nyingi za kujifunza ili kuingia kwenye uhusiano akiwa imara, pia bado ana safari ndefu ambazo huko atakutana na watu wengine ambao kutokana na uzoefu na umri anaweza anzisha mahusiano.
Pia kua na mpenz ambae wewe umemuiba kutoka kwa mtu mwingine sio vizuri kwa kua sababu yenyew haitosh kumaanisha wakiachana ndo hawatotaka kurudia walichokua wanafanya.
Mimi naona Tafuta mpenzi mwingine
 

Haya thread imefungwa. Ushauri Huu Hapa

Cha kuongeza tu Ni kwamba Usiwe desperate sana, umri wako si mkubwa kiasi cha kuanza kupanic.
 
Haya thread imefungwa. Ushauri Huu Hapa

Cha kuongeza tu Ni kwamba Usiwe desperate sana, umri wako si mkubwa kiasi cha kuanza kupanic.
Hahaha poa mkuu
 
Ni kweli mkuu ila nahitaji kua na maandalizi mapema

Fanya maandalizi yako mwenyewe. Jijenge kuwa mume na baba bora kwa familia yako. Jijenge kujiandaa na maisha ya ndoa.

My point; Ukifika wakati wa kuoa, hutohitaji kuorodhesha wanawake wanne wa kuoa. Ukifika muda wa kuoa, utamjua!

Usijistress sana kuchagua na kuuliza kwa watu..ukishaona mtu unahitaji kumwombea ushauri kwa watu, jua WITO BADO!!!
 

Asante sana mkuu for concern na ushauri murua,,,will keep tht in mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…