Habari wana jukwaa,
Girl One
Ni msichana mrembo tuu,Ni dini moja nayangu (means hana complication za kubadili dini),ni msomi ngazi ya chuo kikuu,Ana moyo wa huruma(she is kind),Anaijali familia yangu (when it comes to my family anakua na sympathy sana).Ananifahamu vilivyo (nimekua nae kwenye mahusiano zaid ya miaka miwil na nusu)
ILA: Baada yakuachana nae kila mmoja alishika hamsini zake na baadae nikaja kujua amejifungua mwaka jana mwshoni( ana mtoto ambae sio wangu) sioni kama kua na mtoto ni ishu saana we can fix tht.
Tatizo ambalo hua linakosesha amani kwake ata enzi tukiwa wapenzi ni kua na siri siri nyingi sanaaa,,,yaani she is always on something secretely,,KWA KIFUPI HUA SIO MUWAZI NA MAMBO YAKE
Kwa sasa sina mapenzi nae (labda nianze kudevelop interests upyaa) ingawa kwa yeye anasisitiza ananipenda na anatamani niwe mme wake coz ata aliezaa nae yupo nje ya nchi na hanaga mda nae(madai yake).
huyu hafai kwa sababu ni msiri,usiri katika mahusiano ni mbaya kuliko chochote kile na haswa ukizingatia tayar ana mtoto wa mtu,jamaa akirudi kutoka huko nje siri zitaendelea na wewe utaumia sana.
Girl Two
Kama wa mwanzo uyu pia ni dini moja na mm,,ni msomi nae kwa ngazi ya chuo kikuu,,uyu hua nam appreciate kwa logical argument (upstairs kuna afya yakutosha),,pia she is concerned na familia yangu,,ni mwajiriwa serikalin.
ILA:Ana kiburi (ni kichwa ngumu,nakumbuka we broke up at first place kwa sababu hatukua tunakubaliana mambo mengi),Mara ya mwisho tulionana Dar mwez wa 2 then baada yakurud mkoani nikawa nimemboa hajawahi kujib txt wala kupokea cm yangu tangu apo mpk leo ingawa i still cal her and txt her amlost everday coz naamini ni nimiongoni mwa wasichana ambao nadhan naweza kufanya nao maisha.
Ana mapungufu mengine ila niyakawaida yanatatulika in a long run
Huyu hafai kwa sababu HAJALI,mtu ambaye hajali hisia zako maana yake upo nae kimwili ila kiakili na kiroho haupo nae,ni hatari pia maana ataweza fanya jambo litalookuumiza ila ataona ni kawaida.
Girl Three
Kama wapili nae tupo dini moja,ni msomi nae kwa ngazi ya chuo kikuu,sijawahi kua na mahusiano nae ila aliwahi kuniambia wiki kadhaa zilizoisha that she appreciates me so much anatamani sana niwe mme wake (tunafahamiana for like 4 years back alikua anasoma na mdogo angu),,ni mwajiriwa serikalini,,ana maadili ya dini.
ILA:Kwanza sijawahi kumpenda hivyo kama ntaamua kua nae i have to learn to,,ni bonge flani iv (kiukweli hua napendelea saiz yakati(emergin akijifungua c anakua nyumba(haha joikin)
Kuna siku nilikua napiga nae stori akaniambia yupo kwenye mahusiano na jamaa ambae ni dini tofauti na hawana future so nikiwa tayari atamuacha jamaa na kuja mwangu (keep note, they are in relationship for 3 years now).
Huyu ndo anafaa sasa,swala la ukubwa wa mwili ni wewe kumuambia hupendelei mwili wa aina hiyo,ni vitu vinavyowezekana kuliko kubadili tabia ya mtu.
Girl Four
Uyu ni binti mrembo sana,amepanda hewani,rangi ya chungwa,nguvu zakike zakutosha kabisa.She is vargin (nakumbuka kuna siku we had privacy katika kurupushani nikagundua ivo,,nilisitisha zoezi coz sikua na uhakika kama naweza kua future wake na sijawah kuomba tena game we only do romance).Uyu binti bado hajawa exposed na maisha ndo kwanzaa amemaliza form IV and she is just 18.
Huyu bado sana ni mtoto na pia hana exposure.huyu sahau kabisa
ILA:Tangu nimeanzisha mahusiano nae sijaona tatizo lakutisha ni vitu vidogo vidogo ambavyo they van be fixed,Ila nachokiona ni kua I have to wait a damn long way kumkeep ili badae awe mke (keep note am 25 by now)
ZINGATIA
Msichana wa kwanza na wapili nimewah kua na mahusiano nao,,wa tatu sijawah ila tuko karibu na wanne ndo wanjera wa saiz.
Nawasilisha