stargirl
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 462
- 541
Hapana ni app sema sijui jinaIyo sio video editing..
Hapana ni app sema sijui jinaIyo sio video editing..
Haya[emoji5] bibi ake babu[emoji6] [emoji5]
hata bibi alikuwa binti.
Wacha niku editie msura wake halafu nikupiyemuHaya
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Ngoja nichukue kiti. NiusubiriWacha niku editie msura wake halafu nikupiyemu
hata bibi alikuwa binti.
Mtu anae vutia, yupoje??? Wewe ni ke au me.Utakuwa huvutii ndo maana unahitaji msaada wa kuedit picha ili uvutie..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nimekuja huko kitambo, umenilia buyu tu[emoji81] [emoji81]Ngoja nichukue kiti. Niusubiri
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
just curious, hio app ulioiweka mwanzo wa thread unaitumia kwa ajili gani?Hata mimi naihitaji. Ngoja tusubiri waje. Tutapata majibu
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
inawezekana kwa body dubbing, photoshop ya pc unaweza ila hata ya simu kama una uzoefu kidogo inawezekana, au kwa simu uka combine app kadhaa kufanya hio task moja,Wekeni ile ya kuedit mwili ,,tumbo linakuwa flat na nyonyo zinasimama sasa sita
Msiwe washamba. Sio picha za watu tu ndo zinaweza edit WA. Hata wewe. Wanaume wa DAR. Waje hapa. Ili muwachekeMbona wanaume wa Dar siwaoni wakiuchangamkia huu uzi?? Daah mi wa mkoani sijui wanaedit ili nini...mvuto au...??
kumbe sisi wa mikoani washamba?Msiwe washamba. Sio picha za watu tu ndo zinaweza edit WA. Hata wewe. Wanaume wa DAR. Waje hapa. Ili muwacheke
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Sio washamba. Kuna watu wamepitia hapa kimya Kimyakimya tu, sio Kama hawatumii, wanatumia ila wamepitia Kimyakimyakumbe sisi wa mikoani washamba?
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
anhaaa sawaSio washamba. Kuna watu wamepitia hapa kimya Kimyakimya tu, sio Kama hawatumii, wanatumia ila wamepitia Kimyakimya
Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
inawezekana kwa body dubbing, photoshop ya pc unaweza ila hata ya simu kama una uzoefu kidogo inawezekana, au kwa simu uka combine app kadhaa kufanya hio task moja,
una mfano wa picha?
ushauri wangu endelea kuitumia hivyo hivyo, touch zipo na bei si kubwa sana ila kupata touch original Tanzania ni bahati nasibu, watakuekea touch ambayo haitakuwa na response kama hio.Habari mkuu nje ya mada kuna p8 lite imevinjika kwa chinois yaan la mstari imeweke kufanya repaire inawek ikafika kias gani ila simu iko smooth touche na inapga kazi vizuri sema show tu naitaka
Natumia ku focus picha sehemu ambazo huzihitaji zionekane. Zinakuwa zinafifiajust curious, hio app ulioiweka mwanzo wa thread unaitumia kwa ajili gani?