Turufu ya UKAWA ni kijana sio mwanamama!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,829
Tuwapongeze ccm kwa kutusikiliza wananchi kwani wamejaribu kukwepa kihunzi cha kuwa na mgombea mwenye tuhuma za ufisadi zilizoanzishwa na CHADEMA na kuratibiwa na CCM kiasi cha kuchukua hatua stahiki japo sio tosheleza.

Tuliwahi kusema humu kwamba agenda kuu ya uchaguzi mwaka huu ni ufisadi.

CCM ilisikiliza maoni yetu na ikaamua kuwa smart kwa kumtosa fisadi aliyetajwatajwa sana,lakini CCM ilifikiria mbali zaidi kwani waliyemuweka sio kwamba anakosa tuhuma za ufisadi ingawa ni kwa kiwango cha kuvumiliwa na watanzania(sio sehemu ya list of shame)

CCM imekuwa smart kwa kumteua yule anayewakosha wananchi ndani ya chama kilichojaa mizigo.

CCM wamekuwa smart kwa kujaribu kumteua mwanamama lakini ilishindikana kutokana na vurugu za kukatana.

CCM au niseme JK alitaka kumuweka mwanamama kwani waliamini na wanaendelea kuamini kuwa wapiga kura wengi ni wanamama!

Kuna jambo mastrategists wa CCM walilisahau kuhusu wapiga kura wa mwaka huu wengi wao ni vijana wa kike(sio kinamama) na wakiume.

UJANA ni turufu mwaka huu.hata EL alisupportiwa sana na vijana wa dotcom pengine kupitia mwanawe kuliko wazee kama kina kingunge.

CCM wamejaribu kuitumia turufu ya jinsia ya kike lakini haijakidhi haja ya wapiga kura especially wa bara.

kama mwanamama angetokea bara basi ingekuwa kuna unafuu lakini mwamamama huyu sidhani kama amekidhi haja ya kina mama wa bara na haiwezekani kuteka wasichana wa bara mithili ya kina wema sepetu,jokate,Mange,salama wa EATV na Mboni!

Kwa hiyo hii ni fursa rasmi kwa UKAWA kuja na suprise ya KIJANA....tena kijana anayefit kwenye ile ajenda waliojaribu ccm kuifanyia kazi...ajenda ya UFISADI.

Bado namuona Tundu Lissu ni right candidate for CHADEMA au UKAWA.

KARIBUNI JAMVINI!!
 
Pasco pole kwa kukosea utabiri wako.utabiri ulikuwa sahihi na shawishi lakini wazalendo walipambana ili usitimilike.

Nakikaribisha katika utabiri mwingine ambao haupingwi sana na wazalendo.
 
Last edited by a moderator:
kwanza kumteua lisu kipindi hiki ni sawa na kumteua mwehu. wala hatapata kura. labda kura yako na misukule mingine. labda siku zijazo akili zikimrudia. cha pili tunajua inakuuma sana kwa kukatwa kwa rafiki yako. hata hivyo hakuwa na sifa kama vipi mchukueni lakini ujue ikulu siyo ya baba yako kwa hiyo hataipata hata kwa kupitia huko.
tatu; kwa vyovyote itakavyokuwa magufuli ndo rais ajaye. ile kanda ya ziwa ambayo huwa hamuachi kwenda kumaliza soli za viatu vyenu imefikia mwisho.
nne; hao vijina tanzania hii bila shaka ni wa chadema tu! maana akili zenu ...............

Soma vizuri thred yangu halafu urudi kivingine.

Halafu tambua kwamba nimefurahi sana kwa EL kukatwa...soma thread zangu nyingine.

kuhusu kanda ya ziwa soma wasifu wa Lissu ndio utajua yeye ni nani ndani ya kanda ya ziwa.
 
Pasco pole kwa kukosea utabiri wako.utabiri ulikuwa sahihi na shawishi lakini wazalendo walipambana ili usitimilike.

Nakikaribisha katika utabiri mwingine ambao haupingwi sana na wazalendo.

Mkuu sio kwamba najitapa, bali ni mimi ndiye niliyeripoti humu jf kuwa Lowassa atakatwa na jina lake wala halifika CC!.

Kanisome hapa, uangaie nilisema lini na nini kimetokea!.
[h=3]Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC! .[/h]Pia niliwaandaa wafuasi wa Lowassa kwa kushindwa kufuati too great expectations kuwa lazima awe Lowassa, niliwapa possibilities za kutokuwa Lowassa, hivyo kupunguza despair!
[h=3]Edward Lowassa sio lazima yeye tuu ndiye awe Rais wetu [/h]Na baada ya kueleza humu kuwa Lowassa atachinjwa, pia ni mimi niliyewatajia mgombea wa CCM ni Magufuli, ni mKanisome hapa na uangalie uzi ulipandishwa lini!.
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John P.[/h]I was right, 100%.

Pasco
 
Asante kwa ufafanuzi wenye ushahidi.lakini nimekuwa mmoja wa member wa JF ninayekuona kama usiye na msimamo!

Anyways...sasa tuendelee na utabiri huku nikikuasa uendelee na unafiki lakini sasa ujikite kwenye unafiki wa pande zote husika yaani ccm na upinzani.
 
Tundu lisu ni mwanasheria mkuu wa serikali ya ukawa 2015 oct 25 slaa ndio raisi

tuwapongeze ccm kwa kutusikiliza wananchi kwani wamejaribu kukwepa kihunzi cha kuwa na mgombea mwenye tuhuma za ufisadi zilizoanzishwa na chadema na kuratibiwa na ccm kiasi cha kuchukua hatua stahiki japo sio tosheleza.

Tuliwahi kusema humu kwamba agenda kuu ya uchaguzi mwaka huu ni ufisadi.

Ccm ilisikiliza maoni yetu na ikaamua kuwa smart kwa kumtosa fisadi aliyetajwatajwa sana,lakini ccm ilifikiria mbali zaidi kwani waliyemuweka sio kwamba anakosa tuhuma za ufisadi ingawa ni kwa kiwango cha kuvumiliwa na watanzania(sio sehemu ya list of shame)

ccm imekuwa smart kwa kumteua yule anayewakosha wananchi ndani ya chama kilichojaa mizigo.

Ccm wamekuwa smart kwa kujaribu kumteua mwanamama lakini ilishindikana kutokana na vurugu za kukatana.

Ccm au niseme jk alitaka kumuweka mwanamama kwani waliamini na wanaendelea kuamini kuwa wapiga kura wengi ni wanamama!

Kuna jambo mastrategists wa ccm walilisahau kuhusu wapiga kura wa mwaka huu wengi wao ni vijana wa kike(sio kinamama) na wakiume.

Ujana ni turufu mwaka huu.hata el alisupportiwa sana na vijana wa dotcom pengine kupitia mwanawe kuliko wazee kama kina kingunge.

Ccm wamejaribu kuitumia turufu ya jinsia ya kike lakini haijakidhi haja ya wapiga kura especially wa bara.

Kama mwanamama angetokea bara basi ingekuwa kuna unafuu lakini mwamamama huyu sidhani kama amekidhi haja ya kina mama wa bara na haiwezekani kuteka wasichana wa bara mithili ya kina wema sepetu,jokate,mange,salama wa eatv na mboni!

Kwa hiyo hii ni fursa rasmi kwa ukawa kuja na suprise ya kijana....tena kijana anayefit kwenye ile ajenda waliojaribu ccm kuifanyia kazi...ajenda ya ufisadi.

Bado namuona tundu lissu ni right candidate for chadema au ukawa.

Karibuni jamvini!!
 
sina huo muda mchafu. I am sorry.

Soma vizuri thred yangu halafu urudi kivingine.

Halafu tambua kwamba nimefurahi sana kwa EL kukatwa...soma thread zangu nyingine.

kuhusu kanda ya ziwa soma wasifu wa Lissu ndio utajua yeye ni nani ndani ya kanda ya ziwa.
 
Asante kwa ufafanuzi wenye ushahidi....sasa tuendelee na utabiri huku nikikuasa uendelee na unafiki lakini sasa ujikite kwenye pande zote husika yaani ccm na upinzani.
Kwenye urais, kiukweli kabisa upinzani hakuna kitu!. Baada ya CCM kumteau Magufuli, 2015 ni CCM tena, rais ni Magufuli!.

Lakini kwa vile politics is a game, na ili kucheza one has to follow the rules of the game, upinzani lazima wasimamishe mgombea kutimiza tuu taratibu, hakuna mgombea yoyote wa upinzani wa kushindana na John Pombe Magufuli!, huu ndio ukweli wenyewe, ni ukweli mchungu kumeza, wapenda ukweli wote hili wanalitambua!, CCM wanajua na wapinzania pia wanajua, ila kuna baadhi ya wagombea wa upinzani, wamekuwa wakigombea tuu ili kutimiza taratibu, mfano mzuri ni Prof. Lipumba na mwenzie Maalim Seif Shariff, tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, wamekuwa wakigombea urais na siku ziku zote!, Lipumba amekuwa akipata kura kiduchu ambazo hazijai hata kwenye kiganja na zimeenda zikipungua uchaguzi hadi uchaguzi lakini yeye yumo tuu, hadi watu kumuona ndiye mgombea wa kudumu wa CUF kwenye urais wa JMT, mimi huu nauita ni uking'ang'anizi, na ametaka kuuleta hadi UKAWA!. Afadhali mwenzake Seif, amekuwa 'akishinda' lakini hapewi!, na safari hii atagombea tena kwa imani kuwa sasa 'atapewa!', sisi wapenda ukweli, tumeisha waeleza wazi watu humu kuwa hata safari hii 'hapewi!' na sababu za ni kwa nini anashinda lakini 'hapewi' pia tumezitaja!.

Jidanganyeni tunafukuza kichaa tunatupa na makopo yake... Wapiga kura mwaka huu asilimia kubwa hawajawahi kupiga kura.. Kwa hiyo usikariri na tunajua hata siku moja kondoo hawezi kuongoza kundi la mbwa mwitu CCM ni wale wale na tutajua na hatudanganyiki
 
Hvi kuna anae muona lissu kua ana akili?? Jamani jamani hebu acheni masihara lissu ni chizi total.
 
Bado namuona Tundu Lissu ni right candidate for CHADEMA au UKAWA.

KARIBUNI JAMVINI!!
Mkuu meningitis, kila mmoja wetu humu has the right to his/her own opinion, kama ilivyo kwa 'ganda la mua la jana', au kama ilivyo kwa nabii ambaye huwa hakubaliki nyumbani, kwangu huyu jamaa sio tuu namuona bali namjua fika, ni hot and cold!, sometimes he is good and sometimes he is bad!, when he is good, he is soogod!, buu when he is bad!, it is bad news!.

Nenda kanisome humu jinsi alivyowasaidia Chadema when he is good, na jinsi alivyowaingiza Chadema chaka, when he is bad!, halafu leo unataka kichaa apewe rungu!.
[h=3]Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele
[/h][h=3]Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari
[/h][h=3]Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, [/h][h=3]Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?
[/h][h=3]Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!
[/h]Kwanye hizo nyuzi kuna maeneo nimemkubali Tundu Lissu kama mwanasheria mahiri, ila sio mara moja wala mbili, amewaingiza Chadema chaka!.

Kwanza ni kwenye issue ya katiba, nimeeleza humu jinsi Tundu Lissu alivyowaingiza Chadema chaka na wazima wazima wakauvaa mkenge!.

Kwenye issue ya Zitto nako vile vile!, Chadema washukuru sana Mungu kitu kinachoitwa 'legal technicalities' na sio 'facts at hand'.

Mgombea mwenyewe wa CCM John Pombe Magufuli, kwangu namuona ni kichaa!, hivyo unashauri UKAWA nao wamsimamishe kichaa ili ku match na CCM?.
Pasco

Kwenye urais, kiukweli kabisa upinzani hakuna kitu!. Baada ya CCM kumteau Magufuli, 2015 ni CCM tena, rais ni Magufuli!.

Lakini kwa vile politics is a game, na ili kucheza one has to follow the rules of the game, upinzani lazima wasimamishe mgombea kutimiza tuu taratibu, hakuna mgombea yoyote wa upinzani wa kushindana na John Pombe Magufuli!, huu ndio ukweli wenyewe, ni ukweli mchungu kumeza, wapenda ukweli wote hili wanalitambua!, CCM wanajua na wapinzania pia wanajua, ila kuna baadhi ya wagombea wa upinzani, wamekuwa wakigombea tuu ili kutimiza taratibu, mfano mzuri ni Prof. Lipumba na mwenzie Maalim Seif Shariff, tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, wamekuwa wakigombea urais na siku ziku zote!, Lipumba amekuwa akipata kura kiduchu ambazo hazijai hata kwenye kiganja na zimeenda zikipungua uchaguzi hadi uchaguzi lakini yeye yumo tuu, hadi watu kumuona ndiye mgombea wa kudumu wa CUF kwenye urais wa JMT, mimi huu nauita ni uking'ang'anizi, na ametaka kuuleta hadi UKAWA!. Afadhali mwenzake Seif, amekuwa 'akishinda' lakini hapewi!, na safari hii atagombea tena kwa imani kuwa sasa 'atapewa!', sisi wapenda ukweli, tumeisha waeleza wazi watu humu kuwa hata safari hii 'hapewi!' na sababu za ni kwa nini anashinda lakini 'hapewi' pia tumezitaja!.

Pasco

na wewe umepokea zile b150 ndani ya saa 48?,,,
 
Back
Top Bottom