Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
Mkuu meningitis, kila mmoja wetu humu has the right to his/her own opinion, kama ilivyo kwa 'ganda la mua la jana', au kama ilivyo kwa nabii ambaye huwa hakubaliki nyumbani, kwangu huyu jamaa sio tuu namuona bali namjua fika, ni hot and cold!, sometimes he is good and sometimes he is bad!, when he is good, he is soogod!, buu when he is bad!, it is bad news!.
Nenda kanisome humu jinsi alivyowasaidia Chadema when he is good, na jinsi alivyowaingiza Chadema chaka, when he is bad!, halafu leo unataka kichaa apewe rungu!.
[h=3]Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele
[/h][h=3]Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari
[/h][h=3]Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, [/h][h=3]Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?
[/h][h=3]Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!
[/h]Kwanye hizo nyuzi kuna maeneo nimemkubali Tundu Lissu kama mwanasheria mahiri, ila sio mara moja wala mbili, amewaingiza Chadema chaka!.
Kwanza ni kwenye issue ya katiba, nimeeleza humu jinsi Tundu Lissu alivyowaingiza Chadema chaka na wazima wazima wakauvaa mkenge!.
Kwenye issue ya Zitto nako vile vile!, Chadema washukuru sana Mungu kitu kinachoitwa 'legal technicalities' na sio 'facts at hand'.
Mgombea mwenyewe wa CCM John Pombe Magufuli, kwangu namuona ni kichaa!, hivyo unashauri UKAWA nao wamsimamishe kichaa ili ku match na CCM?.
Pasco
Bendera fata upepo utawajua tuu,wewe ulikua muumini wa mzee sasa amekatwa unakimbilia kwa makofuli baada ya kula hela ya mzee!.hii laana itakutafuna