Mtoa mada wewe ni mjinga flani usiye na akili hata kidogo,unathubutu kumfananisha mtu mshenz kama january na obama? Janauary hana ubongo wa kuongoza USA,Hakuna mwana ccm atakayeweza kuitoa Tanzania ktk umaskini,miaka 54 wameshindwa,leo wana mpya gani? Huyu january huyu aliyekomalia cybercrime act ikapita ndo awe rais?Kama amekununulia bia uje umpe promo rudi kamwambie hatutaki uchafu unaoitwa ccm,go to hell ccm,tumewachoka kabisa,hamna jipya,ubongo wa mmarekani obama unaufananisha na ubongo mbovu wa mtu wa pwani mwana ccm aliyezoea dhiki na joto kali? dead ideas,kweli ccm mmelaaniwa kabisa nyambafu zenu.
Naheshimu sana mchango na mawazo yako. Lakini na kataa kama mimi ni mjinga.Niko well informed and educated. Na pia situ muwi na mtu yoyote in fact sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa leo wala wakati ule wa chama kimoja japo niliwahi kufanya kazi serikalini lakini sikuwahi kuwa mwana ccm/tanu.Mawazo yangu yapo huru.
Obama ni msomi kama January , wote ni vizazi vya Millenials wote ni wasomi na well informed , tofauti yao ni mazingira tu ya mahala.
Obama anaongoza taifa kubwa lenye nguvu na uchumi mkuu duniani. January anategema kuongoza taifa masikini tegemezi,lenye kila aina ya changamoto .umaskini , elimu duni rushwa nk ...ujana na nguvu yake , elimu yake, muono wake , na upendo wake utalisaidia Taifa hili. Kumfananisha na Obama si kwa maana yakuongoza Marekani...bali vision yake ya change ni sawa na ile ya Obama na anaweza kuisimamia.
Ama kuhusu mtu wa pwani hili nalichukulia ni tatizo laukabila linalo kulabil...sehemu ya mtu anapotoka haina mantiki yoyote kwa vizazi vya sasa. Hata USA walimsema Obama kutoka kisumu , mkenya , muislam aliesoma islamic school lakini ameonesha uwezo mkubwa na kuwa prove wrong wabaguzi wenye chuki za kijinga kama wewe.
Mwisho uwezo wa ccm Tanzania bara bado ni mkubwa,tunakubali CCM inakabiliwa na matatizo ya rushwa ubinafsi na makundi lakini kama Taasisi bado nipekee kinachoweza kuongoza Tanzania Bara.
Nafasi ya vyama vya upinzani kama taasisi bado zina walakini wapo viongozi makini mfano ni Lipumba na Mbatia pekee ndio wenye haiba na uwezo wa kuwa viongozi wa nchi hii lakini tatizo kubwa lipo kwenye vyama vyao , kama taasisi zipo weak sana na mara nyingi vipo kikanda au kikabila zaidi..sio vyama vya kitaifa haswa.
Tusubiri Zitto na chama chake miaka ijayo kinaweza kuwa chama cha kitaifa na mbadala wa CCM.
Upande wa Zanzibar CCM nakubali kimeshindwa na kama taasisi imejengengeka kimapinduzi zaidi hivyo sera zake za kibabe zaidi na kibaguzi hizo zimepitwa na wakati na wao wenyewe ni wagumu kubadilika ndio maana vijana wengi wamewaacha mkono.