moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,939
Historia yasema....!
HakikaHuwezi kuniaminisha kwamba jamii nzima yenye watu Bilioni 1 isiwe na mchango wowote ule kwenye maendeleo ya dunia tangu historia ianze kuandikwa kwenye vitabu. Nilisoma kitabu kimoja kinatwa OUR HISTORY:AFRIKANS FROM ANTIQUITY TO THE 21ST CENTURY cha Dr Gaid Faraj kuna mambo mengi kuhusu mtu mweusi yamefichwa.