Ile ilishauzwa..hii n mteja anataka,yy ana mark x![emoji3][emoji3][emoji3]pole naona umeshindwa kuikomboa pale kawe polisi, umeamua kuifunikia palepale
![]()
Toyota mark 2 gx 90 inauzwa
Gari ipo,imepata ajali kidogo engine 1g, vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya. Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi yapo..karibuniwww.jamiiforums.com