Yeah, now you know.Aaah.... Kumbe ndo neno TandaBoi lilipotokea
Time is making abilityKwa kweli, time is makangabilite
The history of the name turn boy.View attachment 1154839
Chauffeur, nahisi tu sina uhakika.Hili SUKA lilitoka wapi?.
mbona hayana hata sound alike!?Chauffeur, nahisi tu sina uhakika.
Kwa kweli, time is makangabilite
Hili SUKA lilitoka wapi?.
kwahiyo asili ya suka ni kusuka usukani?. unasukwaje kwanza?..Suka anasuka usukani.
Kondakta sijui limetokana na nini ila utingo maana yake hiyo hapoNa conductor (kondakta/utingo) limetokea wapi?
Miaka mingi sijalisikia hilo neno.
Nice history.
Dah, hii kitu nilikuwa sijui kabisaThe history of the name turn boy.View attachment 1154839