Turkish President warns

te te te anatafuta nini huyu?
kibaya america asije akawa nyuma yake!
 
ha ha ha ha ha ha ....! NATO inatia watu kiburi sana . Hayo ni maneno ya asiye jiamini . SASA SUBIRI BLACKBOX ya ile jet ifunguliwe
 
INATAKA KUANZISHWA EUROPEAN ARMY HAPA PANANICHANGANYA SANA
ii
 
Bora mm niseme naweza kuoccupy simu yangu mana ninayo...haya mengine ni utani tu...au ni story ya kufikirika..Uturuki hawezi hata kusogeza pua tu kwa Urusi manake atapigwa atajiharishia
 
Huyu jamaa namfananisha na mwanamke ambaye anatunisha mabega kwa mme wake ilihali anapigwa kama mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…