X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,604
- 1,848
- Thread starter
- #21
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake. Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.Ukweli ni huu:
(01) Israel wanastahili kuwa na Silaha za Nyuklia kwa sababu hata "mvumbuzi" wa nyuklia ni MuEbrania.
(02) Israel hawatamshambulia awaye yote bila yeye kushambuliwa kwanza.
(03) Ardhi yote ya WaIsrael kama ilivyonenwa kwenye Biblia ni mali ya WaEbrania na siyo ya Wafilisti.
(04) Wairan chini ya Uongozi wa Rais wa sasa wana chuki sana na WaEbrania na wanataka kuwaondoa kwenye ramani ya dunia. Huyo Rais anatakiwa afanyiwe kazi kama HITLA.
(05) Mwarabu akitaka amani na MuIsrael basi amuachie ardhi yake yote na aende kwa Waarabu wenzake.
(06) ANAYEMBARIKI ISRAEL NAYE ATABARIKIWA. ANAYEMLAANI ISRAELI NAYE ATALAANIWA.
Mathayo 21.42-44