Turkey failed coupe is a hoax

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,456
30,882
The so called " Turkey Faile Coupe is a fake one, what kind of a military coup where they take over 2 cities with 7 tanks, 2 helicopters, some generic explosions and jet fighters flying low ground to be recorded by cameras, happened at 10pm and ended in a few hours, no Politicians arrested, later 1400 troops and a few highrank officials got captured by the government, no organize, no fought back, Judges get fired afterward. I mean come on!
 
Wataalam wa mambo wanasema ule ni mpango wa rais mwenyewe akitaka nchi ibadilike iwe republic ili awe na nguvu zaidi.. So katumia coup ya uongo kuwatisha RAIA kuingia kwenye kura ya maoni..
 
Very possible...wengine wanasema ni mpango ulio sukwa na USA and Israel, lengo likiwa ni kuidistabalise turkey
 
Ingekua mpango wa hawa jamaa 2 uliowataja muda huu tungekua tunaongea hadithi mpya
Kwani huyo Mmarekani hafeli katika hizo hila zake? Hizo zote ni habari bila uhakika , ni Sawa na twin towers kule N. York
 
The so called " Turkey Faile Coupe is a fake one, what kind of a military coup where they take over 2 cities with 7 tanks, 2 helicopters, some generic explosions and jet fighters flying low ground to be recorded by cameras, happened at 10pm and ended in a few hours, no Politicians arrested, later 1400 troops and a few highrank officials got captured by the government, no organize, no fought back, Judges get fired afterward. I mean come on!
Ehh ndo dunia ya sasa, watu walokuwa hawajawahi hata kuingia Turkey au kuijua Turkey watakuelezea mambo utafkiri wamezaliwa huko.
Compound Ignorant= People who know nothing and they know that they do not know but acting as they are expert.
 
Kwenye twin towers alifeli nini?
Nakusudia twin towers ni habari zisizo na uhakika, maana kuna watu wengi wanasema ni wao wenyewe (serikali) ilipanga ili ipate kuvamia nchi nyengine. Si ajabu na hio ya Uturuki ikawa ni hivyo au wamefeli kama walivyofeli Kwa Castro (ghuba ya nguruwe- bay of pigs).
 
Hapo bado haujasimama kwenye point.sasa kama ilikua ni trick kwamba wajipige wapate kuvamia serikal zingine kwa ile hadith ya jiwe moja ndege wawili huoni kwaba walifanikiwa azma yao...niambie kwamba tangu sept 11 nchi ngapi zimeangushwa kwa kisingizio cha ugaid plus democrasia? Hio ni kufeli ama kufaulu kwenye plan zao labda akili yangu ndogo sielewi
 
Sijasema kama akili yako ni ndogo, ni hivi....twin towers (wengine mpaka Leo wanasema ni mango wa serikali) ili wavamie mataifa mengine, SIJABISHA kuwa wamefanikiwa kuvamia nchi kama Afghanistan, Iraq n.k
Walishindwa Kwa Castro kule Cuba kwenye Vita vya ghuba ya nguruwe ( bay of pigs ) na wamekiri kuwa wameshindwa.
 
uploadfromtaptalk1468900471159.jpg
uploadfromtaptalk1468900476832.jpg
 
Ningeshangaa sana kama kwenye conspiracy theories zenu USA na Israel wangekosa. Nyie jamaa bana mtakuja chukuliwa wake zenu mseme ni mpango wa USA/Israel
Hahahaha Israel na USA wabasababisha maisha yanakuwa nagumu
 
Very possible...wengine wanasema ni mpango ulio sukwa na USA and Israel, lengo likiwa ni kuidistabalise turkey
Dunian hp kila conspiracy watu watakwambia ni USA..ikitokea kwe jumuiya ya kiarabu ataongezwa na israel
 
Nakusudia twin towers ni habari zisizo na uhakika, maana kuna watu wengi wanasema ni wao wenyewe (serikali) ilipanga ili ipate kuvamia nchi nyengine. Si ajabu na hio ya Uturuki ikawa ni hivyo au wamefeli kama walivyofeli Kwa Castro (ghuba ya nguruwe- bay of pigs).
Habari ya 911 ni mziki mwengine.

Back
Top Bottom