Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,951 Reaction score 61,758 Jul 21, 2019 Thread starter #21 Muuza simu used said: Sawa mkuu,wake za watu hapana aisee!ila Mademu za watu ni halali kwa matumizi ya wote Click to expand... ha ha ha ni kweli mkuu,ukitembea na wake za watu jiandae kufa au kulogwa...
Muuza simu used said: Sawa mkuu,wake za watu hapana aisee!ila Mademu za watu ni halali kwa matumizi ya wote Click to expand... ha ha ha ni kweli mkuu,ukitembea na wake za watu jiandae kufa au kulogwa...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,923 Jul 21, 2019 #22 Pole sana... Siku hizi ndao zina matatizo sana ndiyo maana hayo yanatokea... Na kingine binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: mahondaw
Pole sana... Siku hizi ndao zina matatizo sana ndiyo maana hayo yanatokea... Na kingine binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: mahondaw
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,399 Reaction score 191,512 Jul 22, 2019 #23 Equation x said: Ingawa ni changamoto...itabidi mtafute suluhisho la kudumu;hawa wa nje tatizo lao wanaleta ushindani kwa bi mkubwa Click to expand... πππππ Ukiruhusu ushindani hilo lazma litokee. Piga ultimatum na uwe mkweli, mkeo aisguswe na akileta usenge unamnyoosha. Kuwa kama Pablo, nobody plays with Tata πππ
Equation x said: Ingawa ni changamoto...itabidi mtafute suluhisho la kudumu;hawa wa nje tatizo lao wanaleta ushindani kwa bi mkubwa Click to expand... πππππ Ukiruhusu ushindani hilo lazma litokee. Piga ultimatum na uwe mkweli, mkeo aisguswe na akileta usenge unamnyoosha. Kuwa kama Pablo, nobody plays with Tata πππ
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,399 Reaction score 191,512 Jul 22, 2019 #24 Muuza simu used said: Sawa mkuu,wake za watu hapana aisee!ila Mademu za watu ni halali kwa matumizi ya wote Click to expand... Jiandae kupakuliwa nikikukuta unachombeza manzi yangu maana ni zaidi hata ya mke kwangu. Kama hujawahi fikiria inawezekanaje mtu kumeza dafu basi utalimeza mchana kweupe. Nobody plays with my Tata.
Muuza simu used said: Sawa mkuu,wake za watu hapana aisee!ila Mademu za watu ni halali kwa matumizi ya wote Click to expand... Jiandae kupakuliwa nikikukuta unachombeza manzi yangu maana ni zaidi hata ya mke kwangu. Kama hujawahi fikiria inawezekanaje mtu kumeza dafu basi utalimeza mchana kweupe. Nobody plays with my Tata.