Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,924
- 61,701
Ingawa ni changamoto...itabidi mtafute suluhisho la kudumu;hawa wa nje tatizo lao wanaleta ushindani kwa bi mkubwa😀😀😀😀😀 kama hatoi haki ya Ndoa?
ha ha haAdam na hawa sio na huyu nimeeleweka
ha ha ha haUlie nae mwenyewe anakuchulia kama mchepuko wake ila hujui labda kwa waliopo ndoani
Tunatakiwa tuyaishiHaya tumesikia
Kwa nyakati tulizopo,wanaume tusipende wake za watu wala wanawake wasipende waume za watu hii ni kwa afya ya kuishi miaka mingi yenye amani na furaha tele.Ridhika na uliyenaye...kama ni gogo huyo ni wa kwako,kama hakufikishi kileleni huyo ni wa kwako n.k Mambo yakutafuta wasaidizi ni kuongeza garama ambazo hazina tija pamoja na migogoro isiyo ya lazima.
Acha watafute migogoro hapo visasi vikianza kila mtu anadanga huko na kuleteana maradhiKwa nyakati tulizopo,wanaume tusipende wake za watu wala wanawake wasipende waume za watu hii ni kwa afya ya kuishi miaka mingi yenye amani na furaha tele.Ridhika na uliyenaye...kama ni gogo huyo ni wa kwako,kama hakufikishi kileleni huyo ni wa kwako n.k Mambo yakutafuta wasaidizi ni kuongeza garama ambazo hazina tija pamoja na migogoro isiyo ya lazima.
Wewe huwezi ukaizidi Bible na Quran kwa makatazo, but still mizigo inapigwaKwa nyakati tulizopo,wanaume tusipende wake za watu wala wanawake wasipende waume za watu hii ni kwa afya ya kuishi miaka mingi yenye amani na furaha tele.Ridhika na uliyenaye...kama ni gogo huyo ni wa kwako,kama hakufikishi kileleni huyo ni wa kwako n.k Mambo yakutafuta wasaidizi ni kuongeza garama ambazo hazina tija pamoja na migogoro isiyo ya lazima.
Ndio hivyo mkuu.zaidi ya hapo ni kutafuta nuksi na mabalaa ya ajabu ajabu.Binafsi nimekuelewa sana acha nipambane na kibamia changu
ha ha ha ha hiyo ni balaaAcha watafute migogoro hapo visasi vikianza kila mtu anadanga huko na kuleteana maradhi
ha ha ha haWewe huwezi ukaizidi Bible na Quran kwa makatazo, but still mizigo inapigwa
[emoji16] hakuna namnaha ha ha ha
ha ha ha ha mkuu hebu tupe mrejeshoIvi hili suala liliamuliwaje na kikao cha wanaume?
Kwa nyakati tulizopo,wanaume tusipende wake za watu wala wanawake wasipende waume za watu hii ni kwa afya ya kuishi miaka mingi yenye amani na furaha tele.Ridhika na uliyenaye...kama ni gogo huyo ni wa kwako,kama hakufikishi kileleni huyo ni wa kwako n.k Mambo yakutafuta wasaidizi ni kuongeza garama ambazo hazina tija pamoja na migogoro isiyo ya lazima.