Taarifa ya Rais Samia kuwa na likizo ya siku 90 si ya kweli

Taarifa ya Rais Samia kuwa na likizo ya siku 90 si ya kweli

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
709
Reaction score
634
Ipuuzeni taarifa hii ya uzushi iliyotengenezwa na wahalifu.

Tunawasisitiza Watanzania kuendelea kufuatilia taarifa kutoka kwenye vyanzo rasmi ikiwemo tovuti ya Idara ya Habari-MAELEZO(www.maelezo.go.tz) na akaunti za Idara ya Habari-MAELEZO kwenye mitandao ya kijamii (Msemaji Mkuu wa Serikali au Maelezo News).

Screenshot 2026-09-08 180255.png
 
Melo aliwaambiaga CCM wakizuia Vyombo vya Habari watatengeza ombwe la Taarifa, kukiwa na ombwe la Taarifa vita ya taarifa inakuwa kubwa sana.

Sasa hivi CCM na utawala wake hawana chombo kinachoaaminika

Vyombo vyao vyote vinatumia kufanya propaganda na kuichafua Chadema.

Gen-Z na wenyewe wanatembea na mule mule
 
Back
Top Bottom