Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,163
- 64,221
Vizuri mkuuNgoja niwahi siti
Ni kweli mkuu,inabidi kupunguza msongamanoHata nguo na viatu ambavyo hukuvaa mwaka mzima wa 2019 ujue huzihitaji tena.inabidi uzigawe tuu. hata vyombo vile ambavyo kikawaida ulitakiwa uwe umevitumia na hujavitumia kwa mwaka wotte wa 2019.vigawe au vipeleke makumbusho .maana havihitajiki tena
Nafikiri atakuwa ameelewa ulichomaanisha mkuuHata nguo na viatu ambavyo hukuvaa mwaka mzima wa 2019 ujue huzihitaji tena.inabidi uzigawe tuu. hata vyombo vile ambavyo kikawaida ulitakiwa uwe umevitumia na hujavitumia kwa mwaka wotte wa 2019.vigawe au vipeleke makumbusho .maana havihitajiki tena
Ha ha ha ha mkuu fafanua kidogoNafikiri atakuwa ameelewa ulichomaanisha mkuu
Unakuta kwenye simu yako una list ya marafiki 1000+; ambao umewasiliana nao mwaka mzima na mawasiliano yao na wewe yako active ni wanne (4) tu; Sasa hao wengine uliowaweka kwenye simu yako wana tija gani kwa maisha yako. Kwa mtazamo wangu, ni bora uwe na idadi ya watu wachache kwenye simu yako ambao kweli unaona wana tija. Kuwa na list ndefu ya majina ni kuichosha simu yako na kujipa faraja kwa marafiki feki ulionao. Kwa maoni yangu tubadilike
Tathmini ni muhimu mkuuNadhani unashindwa kutofautisha vitu vitatu. Kwanza ni kuwa na namba za simu, pili ni kuwa na mawasiliano na tatu ni kuwa na marafiki. Hivi ni vitu vitatu tofauti.
Kuwa na namba za watu wengi sio shida kwa kuwa kila moja ni kwa sababu maalum umeipata na utaitumia au umeitumia. Haimaanishi ukiwa na namba ni kwa ajili ya kuwasiliana nao muda wote.
Kuwasiliana nao pia ni suala jingine. Wakati mwingine ni ulazima au kwa sababu maalum. Sio shida. Na kwa msingi huo huwezi kuwasiliana na watu wote.
Mwisho kabisa kuna marafiki. Hao ni wachache. Ni sehemu tu kati ya wale ulio na namba zao. Na ni sehemu ya wale unaowasiliana nao pengine hata kwama ni kwa kiasi. Lakini wana nafasi ya kipekee katika maisha. Na haiondoi umuhimu wa wewe kuwa na namba nyingine kwenye simu ambazo sio marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha haHao wenye watu buku kwenye simu wanawezaje asee? Mimi hata 50 sidhani na bado nawapunguza au ndo kutafuta vyuwazi wa statasi.
Nadhani unashindwa kutofautisha vitu vitatu. Kwanza ni kuwa na namba za simu, pili ni kuwa na mawasiliano na tatu ni kuwa na marafiki. Hivi ni vitu vitatu tofauti.
Kuwa na namba za watu wengi sio shida kwa kuwa kila moja ni kwa sababu maalum umeipata na utaitumia au umeitumia. Haimaanishi ukiwa na namba ni kwa ajili ya kuwasiliana nao muda wote.
Kuwasiliana nao pia ni suala jingine. Wakati mwingine ni ulazima au kwa sababu maalum. Sio shida. Na kwa msingi huo huwezi kuwasiliana na watu wote.
Mwisho kabisa kuna marafiki. Hao ni wachache. Ni sehemu tu kati ya wale ulio na namba zao. Na ni sehemu ya wale unaowasiliana nao pengine hata kwama ni kwa kiasi. Lakini wana nafasi ya kipekee katika maisha. Na haiondoi umuhimu wa wewe kuwa na namba nyingine kwenye simu ambazo sio marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli maana nimegundua hata simu yangu siku hizi iko slow vibaya,kumbe marafiki wa kweli ni 4 tu,this year am going to delete all the fake friends kwenye phonebook yangu...Unakuta kwenye simu yako una list ya marafiki 1000+; ambao umewasiliana nao mwaka mzima na mawasiliano yao na wewe yako active ni wanne (4) tu; Sasa hao wengine uliowaweka kwenye simu yako wana tija gani kwa maisha yako. Kwa mtazamo wangu, ni bora uwe na idadi ya watu wachache kwenye simu yako ambao kweli unaona wana tija. Kuwa na list ndefu ya majina ni kuichosha simu yako na kujipa faraja kwa marafiki feki ulionao. Kwa maoni yangu tubadilike