Tupunguze kuwasakama 'Singo maza'


Kumbe Kuna wanaume wanajiuza? Sisi hatuitaji fedha zao, wewe unayejiuza kwao endelea
 
Kumbe Kuna wanaume wanajiuza? Sisi hatuitaji fedha zao, wewe unayejiuza kwao endelea
Huwaoni??? Halafu kama umetokea sehemu wanayojiuza ni lazima ufikirie kila mtu anajiuza.
Na kwa kuwa uko nyuma ya key board usidhani uko sawa kuropoka lolote lile unalojisikia.
Inawezekana maisha yako yamekupa na umeyapa nafasi ya kuropoka lolote bila kufikiria na kuwaza hata kidogoa kisa tu tuko wote jamii forum basi uwe na nafasi ya kuniropokea unavyojisikia.
Mwanaume aliyemamilika hatumii dhihaka hata kidogo na hasa kwa asiye mjua.
Kwa kuwa sinaga muda ngoja nikutupie ignore list.
 
Na wewe wasifie, sisi tumejikita kusema experience na uzoefu wetu na wao
ndio nawasifia hapa:
1.wana maumbo mazuri yaliyopevuka
2.wanajua hardware na software ya mapenzi
3.wanajua maisha na uvumilivu wao ni mkubwa sana
4.wanajua jinsi ya kuvumilia shida
 
Ni kwakuwa huyo singo maza hawezi kuja hapa kujitetea
 
AKA Simp 😃
 
ndio nawasifia hapa:
1.wana maumbo mazuri yaliyopevuka
2.wanajua hardware na software ya mapenzi
3.wanajua maisha na uvumilivu wao ni mkubwa sana
4.wanajua jinsi ya kuvumilia shida

Hongera wanakufaa sana
 
eti lisingo maza,wewe linanihii tu,hii ni lugha ya dharau sana kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…