Tupongeze au tulaumu Mfumo wa kibepari?

Tupongeze au tulaumu Mfumo wa kibepari?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,652
Reaction score
5,134
Nachokijua tajiri atabakia kuwa katika standard hiyo hiyo jwa sababu ameshika mfumo wa mzima wa Fedha au biashara.

Kwa sasa vijana wengi tunabet na kuna idadi kubwa imejisajili kwenye mfumo huu kama mawakala na wengine dealer wa Mfumo wa kubet ila Code itabakia ni moja muanzilishi wa mfumo ni mtu au kampuni fulani tu,yenyewe inapokea asilimia kadhaa kutoka kwa mawakala wake.

Benki,Asasi za kiraia na serikali zote zote zipo undercontrol ndiyo maana hata dunia imepitia magumu gani kama kuna mtu akasimama na kusema hiki hapana basi nchi nyengine zote zinaufyata.

DUNIA INAISHI KATIKA TAMADUNI MOJA,SHERIA MOJA NA FEDHA MOJA.
 
Back
Top Bottom