Mimi niko peke yangu ubavu wangu haujanipa mayokeo.
poa poa binamu.....
poa poa binamu.....
upo peke yako huogopi?
karibu kwetu kigoma
kuna migebuka huko
kajaa tele
niko peke yangu
najiamini napendwa ndo maana siogopi
hata kama unajiamini,lakini kuna muda unaingiwa na woga ....
wapi hapo?