Tupitie kidogo hii Makala (Ujasusi wa kidola na kiuchumi))

Sio kweli.. Wala haikuwa hivyo. mambo mengi yamepotoshwa hapo.. Yericko Nyerere ulitakiwa kufanya research ya kutosha kabla hujaandika kuhusu kisa cha Karegeya
Uko sahihi mdau, mana hata mimi ninavyojua General Karegeya kifo chake kilitokana na kunyongwa shingo yake na shuka, na tena haijulikani hilo shuka kama alijinyonga au alinyongwa.
Kwa hiyo anachosema yeriko Nyerere kwamba General Karegeya alipigwa risasi sio za ukweli
 
Kweli kabisa, in addition tu that huyo Appollo anaemtaja kama Kanali wa jeshi, sio kanali wala hajawahi kuwa mwanajeshi ila ni mtoto wa mjini pale kigali na mpiga dili maarufu Kigali - Bujumbura..
 
Sasa kama ni uongo huyu Yericko kwanini afanye hivi kutulisha matango pori.
 
Back
Top Bottom