Hod, hodi , hodi , mimi ni mgeni kidogo katika huu mtaa na JF kwa ujumla ila mara kwa mara hua napitia kwenye thread mbali mbali za huu mtaa wenu.
Back to the Topic, mimi natamani sana kukutana na Rose M, I dont know the reason but i feel like meeting her . Kama ntapata nafasi hiyo cha kwanza ntakachomuuliza ni kuhusu hobby zake , kama ni movies basi ill take her to watch movies in a very nice Cinema hall, kama ni clubbing then ill take her to a nice Club(Of her choice) kama ni maji then ntampeleka akapate hayo maji kadri ya uwezo wake kwa sehemu atakayochagua then ill take her home(where she lives)
Ni hayo tu. But i dont knw her marital status thats the problem, but its okay with me either way , the offer stands.