Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 12,906
- 32,301
Naona uchawi wa kinyakyusa ni mkali Sana siku hizi.Iyo imeikaa poa sana ase 😂
Naona uchawi wa kinyakyusa ni mkali Sana siku hizi.Iyo imeikaa poa sana ase 😂
Kama hilo jambo linahalalishwa kwa mimi kupika nimefeli.😀😀😀 wewe tutakufa njaa basi nilitaka tufanye jambo😀
Siusome hapo juuHapa usiku huu nimepewa mtihani nipike wali hata sijui nianzie wapi😄
Asante bossSiwezi, hata kuchemsha tangawizi tu hunilazimu nipate msaidizi. Nimpongeze tu kaka mkubwa Mwachiluwi kwa uwezo wake mkubwa wa kukorofisha.
Au sio 😂Naona uchawi wa kinyakyusa ni mkali Sana siku hizi.
😄😄😄 inategemea na mfumo wa maisha ukiishi uswahilini hafu ukapenda kupika, watu watasema wewe ni mchoyo.Shida huo muda wa kukaa jikonif aisee naona kazi sana sijui ndio asili ya uvivu wenyewe
Tayariiiii 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Poor Brain njoo huku ufundwe
Jamaa ni mwendo wa mavyakula tuTayariiiii 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Et koroga koroga🤣🤣🤣🤣 weka maji jikoni yakichemka tia mchele, koroga korogaa.. halafu acha uwive. Hapo waliwako tayari kwa kuliwa na mboga yoyote ile.
💪💪💪
Huu uzi mwachie aalya bana banaJamaa ni mwendo wa mavyakula tu
Uje ujaribuHuu kweli ni wali maua
Hapo n kweliUje ujaribu
Au tufanye jambo mkuu, wewe utakua unapika mimi nafua😀😀
Mna uhakika na hili? Watu tuanze michango haraka weekend ijayo hii bond ijengwe?Iyo imeikaa poa sana ase 😂
Ndio uhakika upoMna uhakika na hili? Watu tuanze michango haraka weekend ijayo hii bond ijengwe?
Kufua+kupika=ndoa
Aaaah catress weeee hatimae unaoaNdio uhakika upo
We upendi utaki uwe na wifi yako humuAaaah catress weeee hatimae unaoa
Napenda mno, we unadhani mi nafurahi kukuona unasukuma chapati? Unatwanga kisamvu? Unakuna nazi? Oa tu catressWe upendi utaki uwe na wifi yako humu
Nishapata mke sasa financial servicesNapenda mno, we unadhani mi nafurahi kukuona unasukuma chapati? Unatwanga kisamvu? Unakuna nazi? Oa tu catress
Vipi wifi Evelyn Salt umenipitisha kwenye kura za maoni? Sema neno nipone😀Nishapata mke sasa financial services