Tupike wali maua

Tupike wali maua

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,466
Reaction score
65,778
Hellow
Sikuiz nipo bise that why sileti thread

Kwanza andaa mchele wako vizuri kisha katakata hoho na karoti hapa kwenye hoho unaweza tumia hoho za rangi ya kijani, njano, au nyekundu

Baada ya hapo chemsha maji yako vizuri kisha osha mchele wakat maji yameanza kuchemka baada ya hapo chukua sufuria yako ambayo utapikia weka mafuta yakisha chemka mafuta weka mchele anza kukaanga vizuri baada ya hapo utaweka chumvi na maji kidogo

Then utaacha kwa mda ukiona maji yamesha kauka vizuri weka sasa hoho na karoti kwa juu kama hivi
1747324542865.jpeg

Baada ya hapo acha kama dakika kama 10 kisha ugeuze na uchanganye hoho na karoti kama hivi

1747324604470.jpeg
Kisha funika tena ili wali wako ukauke vizuri chakula hiki unaweza kula na mboga yoyote uipendayo.

Karibuni
 
Hellow
Sikuiz nipo bise that why sileti thread

Kwanza andaa mchele wako vizuri kisha katakata hoho na karoti hapa kwenye hoho unaweza tumia hoho za rangi ya kijani, njano, au nyekundu

Baada ya hapo chemsha maji yako vizuri kisha osha mchele wakat maji yameanza kuchemka baada ya hapo chukua sufuria yako ambayo utapikia weka mafuta yakisha chemka mafuta weka mchele anza kukaanga vizuri baada ya hapo utaweka chumvi na maji kidogo

Then utaacha kwa mda ukiona maji yamesha kauka vizuri weka sasa hoho na karoti kwa juu kama hivi
View attachment 3334833
Baada ya hapo acha kama dakika kama 10 kisha ugeuze na uchanganye hoho na karoti kama hivi

View attachment 3334835Kisha funika tena ili wali wako ukauke vizuri chakula hiki unaweza kula na mboga yoyote uipendayo.

Karibuni
Poor Brain njoo huku ufundwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom