Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Pipili mbuzi au mwendo kasiOngeza pilipili hapo tule
wahindi kwa pilipili 😁Ongeza pilipili hapo tule
Si unatafuta kisingizio cha kutoa chozi 😁Mjomba wambie kwenye huo mchicha wasiweke pilipili sitaki stress nyengine 🥹
Ety eeh 😭.....ila kaka sikufichi me baba angu arsenal nataka niirithi hii timu 😂Si unatafuta kisingizio cha kutoa chozi 😁
Ipo ya embe na nanasi wewe tu hapoHapo umekosa juisi baridiiii
Siku moja uje utembee ata kidogoUtamuua mke wako kwa utamu..!
Swafiii una kuwa mwepesi ukilala umelalaBwashee huo msosi ni htr..... unakula balaa, ukishushia hapo mtindi ndi mwishooo
Ahhaha kisaMjomba wambie kwenye huo mchicha wasiweke pilipili sitaki stress nyengine 🥹
Utanipikia nini?Siku moja uje utembee ata kidogo
unakaribishwa, badirisha na id andika bukayo saka😁Ety eeh 😭.....ila kaka sikufichi me baba angu arsenal nataka niirithi hii timu 😂
Nataka nijite dogo Eze 😂unakaribishwa, badirisha na id andika bukayo saka😁