Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,832
Hata na nyanya chungu (ngogwe) inakuwa nzuriMimi nawekaga na nyanya kipande kuongeza ladha
Nyanya chungu na bamia bila majani ya maboga nayo unaweza kupika mlenda wake, unakuwaga mtamuHata na nyanya chungu (ngogwe) inakuwa nzuri
Sipendi napenda wa hiviUmetumia kiungo gani? Au mlenda chukuchuku ingependeza ungeweka karanga za kusagwa
Unakuwa mtamu pia ila mimi napenda wa hiviMimi nawekaga na nyanya kipande kuongeza ladha
Kabisa ila mm napenda hiviHata na nyanya chungu (ngogwe) inakuwa nzuri
Tembele zuri sanaNapenda sana mboga hii pamoja na tembele.
Pika siku moja nije kulaNyanya chungu na bamia bila majani ya maboga nayo unaweza kupika mlenda wake, unakuwaga mtamu
Umenifanya nimiss mlendaHabari
Leo nilikuwa na hamu ya ugali na mlenda basi nikaanza kukata majani ya maboga na bamia kisha nikaweka maji kidogo na magadi pamoja na chumvi kisha nikaweka jikoni na kuchanganya majani ya maboga na bamia kama unavyoona
View attachment 3342395
Ugali najua mnajua kuupika
View attachment 3342398
Karanga za kusaga weka Mkuu!Habari
Leo nilikuwa na hamu ya ugali na mlenda basi nikaanza kukata majani ya maboga na bamia kisha nikaweka maji kidogo na magadi pamoja na chumvi kisha nikaweka jikoni na kuchanganya majani ya maboga na bamia kama unavyoona
View attachment 3342395
Ugali najua mnajua kuupika
View attachment 3342398
Karanga weka za kusagaHivi mlenda hauwekwagi mafuta ? Hii mboga nimejifunza kula ukubwani ,,,, ! Sijui kuipika wala siwez lkuimiss ! But nakulaga ! Naona samaki hapo kando👍
Huu ndo wenyewe sasa wenye karangaUmetumia kiungo gani? Au mlenda chukuchuku ingependeza ungeweka karanga za kusagwa
Ntawatumia hapa mtaionaPika siku moja nije kula