Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,295
- 60,915
Hello 👋,.
Leo si nikapika bhana halafu nikalala nikasahau kupost wakati nlishapiga Hadi picha,..
Haya tuanze,. Ingredients ni ndizi mbivu,. Maziwa ya Unga,. Kahawa na sukari
Kwenye kikombe chako kisafi utaanza kuweka sukari kijiko kimoja
Utafatia na kahawa nusu au robo kijiko,. Mie nliweka robo kijiko cha chakula
Then utaweka maziwa ya Unga vijiko viwili au vitatu kulingana na wewe unavyopendelea,. Mie nliweka vitatu
Baada ya hapo utamiminia maji yako ambayo ulishachemsha kama hivi
Make sure umekoroga vizuri kabisaa maziwa yasijiweke mabongebonge
Then chukua ndizi yako mbivu imenye vizuri unakunywa na chai kama hivi,. Very simple huwashi hata jiko yaani
Sema hii ndizi bhana😌,,. Anyway nilienjoy breakfast yangu

,.
,,. Anyway nilienjoy breakfast yangu