Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,787
Hellow
Leo bhna nilitaka kukimbia hapa sasa gafla natoka njee mh nakutana na wazee wazima hawa hapo wanakula nikasema ngoja nirudi ndani niangalia chakufanya sina mbio za kukimbiza nao ndio nikaona boga nikasema ngoja leo nipike hii kitu
Kwanza nikalikata katikati
Kisha nikatoa mbegu izo za maboga
Baada ya hapo nikalimenya boga vizuri tu
Baada ya hapo nika katakata vipande kama hivi
Baada ya hapo nikaweka maji na kuchemsha
Nikaona maji mengi nilipunguza kisha nikaweka nazi yangu
Ikachemka kwa muda nikaipua note usikoroge sana kuna watu wanapenda kukoroga utakunywa uji wa maboga na sio kula maboga